Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo
Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Hatuhusiki.Na wale wala kitimoto kwa siri hawahusiki?
Nothing lasts longerEti Chadema kutwaa nchi.....
You must be joking
Ifumuliwe kwa sababu gani?? Punguza kufoka ufiche ujinga wakoAcha ujinga. Kuna mahali nimeuliza polisi anafanya kazi kwa maelekezo ya nani! Au mimi nimeongelea kuhusu kufumuliwa kwa muundo wake!
Kama wewe ni mwanamke kweli nakupa hongeraKamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Ile ni fake ndio maana Mafwele kaidharau kaamua yakeKwani tume ya Jaji Lila ishatoa majibu? Ndo maana Heche anasema ile tume ni kanyaboya. Nani kaingia akaanza kutaja watu? Tume ya Lila imekosa uhalali.
Tume imeundwa kuwashughulikia wakosoaji wa Samia kuingia madarakani kimabavu
Bado mnaamini kuna watu wanaokotwa kirahisi hivyo na hizo shahidi za kubumba? Tuambieni ni wapi kura 31m alipata muuaji Samia. Kama mnatengeneza shahidi za hadaa ili kuficha ukweli, basi mjue mtawaokota wajinga wajinga wa vijijini.Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Porojoanashangaa vip sasa kambale, kwani ni uongo kwamba TLS haijapokea pesa za ufadhili wa ghasia zile?
na halafu,
kwani wajibu wa wakili ni kushangaa?🐒
Kwa mtazamo wangu hili swala lingepotezewa kabisa, ni kuibua chuki mpya zisizokuwa na matokeo mazuri kwa maslahi mapana ya taifa.
Mnakoelekea hii kitu itawapalia.Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Waache usimuamushe alie lala ,utalala weweMnakoelekea hii kitu itawapalia.