PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu, tusi-deal na dalili za ugonjwa bali tutibu ugonjwa wenyewe. Japokuwa watanzania wengi wanaonekana kutojua kinachoendelea lakini mimi naona CCM ikibomoka kutoka ndani. Haina muda mrefu.
Ninaweza kusema kwa uhakika kabisa bila ya hofu yoyote ya kukosolewa, kwamba mTanzania yeyote anayeitamani au kuishabikia CCM, ni kwa sababu za kibinafsi tu, kwa manufaa anayopata kutokana na kuwa sehemu ya kundi hilo.

Kama kuna yeyote anayeona CCM inafanya vizuri kuongoza nchi hii; na hafaidiki kibinafsi, huyo atakuwa ni mtu wa kipekee sana.

Hata Samia mwenyewe siamini kuwa yupo pale akiona anafanya kazi nzuri inayokipa chama chake heshima kubwa kwa wananchi.
 
Bado mnaamini kuna watu wanaokotwa kirahisi hivyo na hizo shahidi za kubumba? Tuambieni ni wapi kura 31m alipata muuaji Samia. Kama mnatengeneza shahidi za hadaa ili kuficha ukweli, basi mjue mtawaokota wajinga wajinga wa vijijini.
Kura zilipigwa vituoni,hata kitima alipiga kura
 
Nilidhan tunatafuta maridhiano, kwa,style hii naona maadui kuongezeka
 
Kasome ripoti iliyoundwa na mabosi wako kuhusu suala zima kuhusu haki jinai. Sihitaji malumbano na mtu.
Nani alumbane na wewe? Jeshi hili hili likipata kiongozi mzuri hufanya vizuri likipata mbaya nalo hufanya vibaya sasa kwa akili za kwenda chooni tuu ujui tatizo liko wapi?

Leo hii hadi viongozi wa dini hutumia nafasi zao vibaya (kisiasa) kwa maslahi binafsi napo mifumo ya dini ifumuliwe?
Vip kuhusu mahakama, bunge, uhamiaji, jwtz na nk???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…