Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Una maslahi gani kwenye mauaji ya watanzania wenzako mamia waliuwawa Hadi majumbani Hadi watoto wadogoKamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Serikali inaruhusiwa kuuwa raia wake Kwa sababu yoyote ile ??Serikali ina vyombo vingi vya kukusanya taarifa, hawawezi mdhuru mtu bila sababu
Kumkosoa kiongozi anapokosea ni chuki ?Wadini ndiyo wataopaliwa,kumchukia kiongozi bila sababu za msingi
Mimi ni mkatoliki ndaki ndaki, msitumie udini kueneza chuki, kama ambavyo Bin Gagula amekuwa akitembeza fedha kwa ajili hiyo, hakukuwa na jambo lolote lililofanywa na katoliki dhidi ya serikali zaidi ya kupinga kwa waraka ambao hata wewe unaujua. Mengineyo ni jitihada za kutugawa kwa dini. Tena basi walahu ungelalamikia wahumini wa Gwajima walioandamana MO29 Kuliko Wakatoliki.Sema tu Wakatoliki na baada ya dili kubuma kotekote sasa hivi wako kimyaaaaaa!
Ulisoma ripoti za waangalizi wa kimataifa ?Kura zilipigwa vituoni,hata kitima alipiga kura
Huna akiliKuwadanganya akina nani!?.. mcsenge babaako mwenye bawasiri
Usimsahau SHEHE SHARIFU MAJINI,maana na yeye yupo anatomba mabikra 72 na kunywa mito ya pombe baada ya kuuliwa na mgonokaji mwenzakeKamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo
Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Ukiweza usiwe unani-reply, maana bufuru lako tupuUna maslahi gani kwenye mauaji ya watanzania wenzako mamia waliuwawa Hadi majumbani Hadi watoto wadogo
Kitima alipiga kura, kasema mwenyeweHakuna wajinga wa hivyo.
Wewe ni mdini na mpotoshaji na reply kuondoa upotoshaji wako wa kipuuziUkiweza usiwe unani-reply, maana bufuru lako tupu
Walipiga wengi TU ila sio mamilion mliotaja ni vitukoKitima alipiga kura, kasema mwenyewe
Kwamba ndio kura yake ilikuwa ya 31m ama? Unadhani watu ni wajinga kwa style hiyo? Mlikuwa mnapora kura za cdm na kujifanya ni zenu, safari hii cdm wakogomea upuuzi, idadi yenu halisi ya wapiga kura ikadhihirika. Saa hii mmebaki kutengeneza ushihidi wa vitisho ili kuficha ukweli.Kitima alipiga kura, kasema mwenyewe
Nimeshamuweka kwenye ignore list 🚮Anajua sema anajizima data
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo
Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Unatia aibu sanaKura zilipigwa vituoni,hata kitima alipiga kura
Ya mwezi huuHayo ni maandamano ya mwezi huu? Ni ya kuhitimisha 10/29/2025 au ni makosa ya kimaandishi?
Wanakula kitimoto kisiri SiriNa wale wala kitimoto kwa siri hawahusiki?