Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.

Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.

“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.

Source: BBC

Halafu kuna watu fulani humu wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
 
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji​

Source bbc.
Halafu kuna kima fulani humu jf wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
Ulikuwa utengeze bonge la uzi lakini ujaharibu mwishoni
 
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji​

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.

Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.

“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.

Source bbc.
Halafu kuna kima fulani humu jf wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
 
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji​

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.
Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.
“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.
Source bbc.
Halafu kuna kima fulani humu jf wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
Watulipe fidia mbwa hawa! Walituharibia sana kama sio wao na ukatili wao tungekua mbali sana
 
Waarabu hawajaomba radhi, hao wazungu ni waungwana.
 
Wewe jamaa mpuuzi sana Uislam unakuendesha msobemsobe upo kama jinga fulani hivi
 
Umeleta taarifa nzuri sana kuhusu ukatili wa wajerumani Tanganyika!!

Ila hapo mwisho inaonekana umeathirika na dawa za kulevya muda mrefu sana!
 
Wewe jamaa mpuuzi sana Uislam unakuendesha msobesobe upo kama jinga fulani hivi
Huyo ndiyo muislam sasa!

Uislam unataka mtu anayetetea chochote bora kimekuwa kizuri kwa dini,huwezi kumtenga au kumsema kwa baya muarabu aliyeshushiwa dini uachwe bila kutulizwa.
 
Ujerumani imekuwa ni nchi pekee inayoomba radhi kwa ukatili waliofanya huko nyuma. Nchi nyingi zinajitia vichwa ngumu kabisa.
 
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji​

Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.
Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.
“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.
Source bbc.
Halafu kuna kima fulani humu jf wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
Yoda ...
 
Inaelekea you are less informed of what is going on in these post colonial states.

Wala usiombe radhi maana walichokifanya wajerumani enzi za ukoloni, ndicho hicho wanachokifanya watawala wetu hapa Afrika. Tena wao wanakuwa na zaidi kuliko mlivytofanya nnyinyi.

Sasa radhi unaomba ya nini? Kama kingelikuwa kibaya hawa wahuni wetu wasingelifanya mabaya hayo hayo!

Wala usiombe radhi
 
Siku chache zilizopita Tanzania ilipokea ugeni kutoka Ujerumani na yupo member mmoja aliandika thread ya kutuhabarisha kuwa Rais wa Ujerumani katuomba msamaha kuhusu Vita ya Majimaji

Hivi hamuoni kuwa ametudharau na kebehi kwa kutukumbusha vita waliyotuchakaza na kutunyanyasa san?

Nimekerwa mno kwa alichokifanya, naomba serikali muda mwengine iwe wakali kwa vitendo hivi vya unyanyasaji.
 
Back
Top Bottom