Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Labda Afrika ya kati kule walikofanya mapinduzini vyema afrika nzima ifungue kesi ya ukandamizwaj ulofanya na wakoloni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Afrika ya kati kule walikofanya mapinduzini vyema afrika nzima ifungue kesi ya ukandamizwaj ulofanya na wakoloni.
Hata mkataba ulipokuja kuna waliosema wanamuonea kwa sababu uneletwa nawaislamu, ukatili wao ni wa kupuuza equally na wa hao wajermaniRais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.
Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.
“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.
Source: BBC
Halafu kuna watu fulani humu wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
You are so right..ni vyema afrika nzima ifungue kesi ya ukandamizwaj ulofanya na wakoloni.
Kulikuwa na haja gani kuweka hayo maneno ya mwisho, inferiority complex imekufanya umeharibu uzi na hutapata uchangiaji wa maana.Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo ikiitwa Tanganyika na kuahidi kuongeza uelewa kuhusu madhila hayo katika nchi yake, imerpoti tovuti ya DW.
Kadhalika taarifa hizo za Ujerumani kuomba radhi zimechapishwa na Makumbusho ya Taifa ya Tanzania katika ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Tweeter.
“Ningependa kuomba radhi kwa kile ambacho Wajerumani walikifanya kwa mababu zenu hapa,” alisema Steinmeier alipotembelea makumbusho ya vita vya Maji Maji, yaliyopo mji wa Songea, mkoani Ruvuma, Kusini mwa Tanzania.
Source: BBC
Halafu kuna watu fulani humu wanasema uhalifu Tanganyika umefanywa waarabu. Wanatumia neno waarabu kwa sababu ni waislam.
Kama umeharibika mbona umechangia?Kulikuwa na haja gani kuweka hayo maneno ya mwisho, inferiority complex imekufanya umeharibu uzi na hutapata uchangiaji wa maana.
Uwe mbali wapi Amna akili mbona asia walitwaliwa na kumwaga damu nyingi na wameendelea huko Vietnam Singapore na mataifa ya aina hiyo... wenzenu wanajiuliza kwanini jiwe linadondoka nyie mnasaga mahindi kwa mawe, msingetawaliwa pengine adi Leo tungekuwa tunavaa kanikiWatulipe fidia mbwa hawa! Walituharibia sana kama sio wao na ukatili wao tungekua mbali sana