RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Unaweza kuwa ww ndo mtu wa hovyo ..coz hujui history na wezio hawatanii unazan sawa na nyie shithole generationNimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Mtu yeyote hawezi kwenda kujenga jirani na adui yake.Sababu ya kijinga? Haitakaa itokee kamwe taifa kubwa kama Russia kumruhusu NATO na Marekani wawe na access na mipaka yao kupitia nchi iliyopakana nae, sababu kwa kufanya hivyo atakua kajiweka hatarini kiusalama. Marekani ni mnafiki, unadhani angekubali Russia awe na ushirika na nchi kama Mexico na kuwa na uwezo wa kupeleka majeshi yake? Hakuna anaependa vita, ila Putin hakua na chaguo jingine. Hakuna namna yoyote angeweza kuruhusu Ukraine ajiunge NATO, never. Siku chache zijazo rais wa Ukraine atapinduliwa, kisha Putin ataweka mtu anaemmudu kama yule aliekuwepo kabla ya huyu wa sasa, na biashara itaishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na nyodo sana huyo akijitamba Ana mtandao mpana na sapoti kubwa kutoka nato wacha wamnyooshe ila wasijana wengi wanaaal
πππ
Huyu jamaa hakujua kama itafikia huko alijua akiguswa tu wajamaa wataingiaDah ila jamani yaani hata huzuni hamsikii kwa jinsi rais Zelensky anavyoongea kwa huzuni?
Jaalia wewe mshikaji wako kakupigia simu tena ni video call halafu akueleza huenda hii ndio mara yako ya mwisho kumuona akiwa hai.
Wanakufa raia ambao hawakusema lolote.Alikuwa na nyodo sana huyo akijitamba Ana mtandao mpana na sapoti kubwa kutoka nato wacha wamnyooshe ila wasimuue
He is just greedy for powerβ¦.Baada ya hapa atawatafuta wengine anaopakana nao wanyonge arudishe tena U.S.S.R .Kwaio China naye Aivamie Taiwan akitoa sababu kwamba Marekani atajiattach .Au Marekani naye amvamie Mexico kwasababu kama za putin?Sababu ya kijinga? Haitakaa itokee kamwe taifa kubwa kama Russia kumruhusu NATO na Marekani wawe na access na mipaka yao kupitia nchi iliyopakana nae, sababu kwa kufanya hivyo atakua kajiweka hatarini kiusalama. Marekani ni mnafiki, unadhani angekubali Russia awe na ushirika na nchi kama Mexico na kuwa na uwezo wa kupeleka majeshi yake? Hakuna anaependa vita, ila Putin hakua na chaguo jingine. Hakuna namna yoyote angeweza kuruhusu Ukraine ajiunge NATO, never. Siku chache zijazo rais wa Ukraine atapinduliwa, kisha Putin ataweka mtu anaemmudu kama yule aliekuwepo kabla ya huyu wa sasa, na biashara itaishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu sio watu wa kuwategemea aisee, wanaweza kukulaza mlango wazi hivi hiviHuyu jamaa hakujua kama itafikia huko alijua akiguswa tu wajamaa wataingia
Ni kwamba hao urusi na USA wakipigana ile face to face itakuwa balaa la duniaWazungu sio watu wa kuwategemea aisee, wanaweza kukulaza mlango wazi hivi hivi
Umeongopa , Russia ameshati mguu Mara nyingi tu katika nchi ambazo USA huwa anataka kuzipiga , refer Syria na VenezuelaNi kwamba hao urusi na USA wakipigana ile face to face itakuwa balaa la dunia
Ukitaka kujua kati ya hao wawili wanaogopana mmoja akiwa na maslahi ya sehemu akianza kuonea nchi fulani mwingine hatii mguu kila mtu ana muda wake
USA mnafiki tu mbona Russia kaingia SyriaNi kwamba hao urusi na USA wakipigana ile face to face itakuwa balaa la dunia
Ukitaka kujua kati ya hao wawili wanaogopana mmoja akiwa na maslahi ya sehemu akianza kuonea nchi fulani mwingine hatii mguu kila mtu ana muda wake
Kule hwagusani kila mtu ana yake kafuataUSA mnafiki tu mbona Russia kaingia Syria
Biased, single side judgement na mahaba ndi ndi ndiAfghanistan [emoji1023] Libya [emoji1149] Syria [emoji1238] izo historia zake ujasoma
Au namba 2namba 1
Hapo usikute Anajilaumu bora ingebaki kuwa comedian ππHuyu jamaa hakujua kama itafikia huko alijua akiguswa tu wajamaa wataingia
Anajinyea huko wanzie wakk wanagonga glassHapo usikute Anajilaumu bora ingebaki kuwa comedian ππ
Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana