Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

Sababu ya kijinga? Haitakaa itokee kamwe taifa kubwa kama Russia kumruhusu NATO na Marekani wawe na access na mipaka yao kupitia nchi iliyopakana nae, sababu kwa kufanya hivyo atakua kajiweka hatarini kiusalama. Marekani ni mnafiki, unadhani angekubali Russia awe na ushirika na nchi kama Mexico na kuwa na uwezo wa kupeleka majeshi yake? Hakuna anaependa vita, ila Putin hakua na chaguo jingine. Hakuna namna yoyote angeweza kuruhusu Ukraine ajiunge NATO, never. Siku chache zijazo rais wa Ukraine atapinduliwa, kisha Putin ataweka mtu anaemmudu kama yule aliekuwepo kabla ya huyu wa sasa, na biashara itaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote hawezi kwenda kujenga jirani na adui yake.
 
Jamaa anafanya proganda kwa kiasi flani, kwani Ukraine ndiyo nchi pekee jirani na Rusia ambaye akitaka kujiunga na NATO?

RUSIA amekosea sana kumvamia Ukraine kwa ukweli, wakija kufanya analysisi wanaitangazia dunia kua walikosea sana.
 
Sababu ya kijinga? Haitakaa itokee kamwe taifa kubwa kama Russia kumruhusu NATO na Marekani wawe na access na mipaka yao kupitia nchi iliyopakana nae, sababu kwa kufanya hivyo atakua kajiweka hatarini kiusalama. Marekani ni mnafiki, unadhani angekubali Russia awe na ushirika na nchi kama Mexico na kuwa na uwezo wa kupeleka majeshi yake? Hakuna anaependa vita, ila Putin hakua na chaguo jingine. Hakuna namna yoyote angeweza kuruhusu Ukraine ajiunge NATO, never. Siku chache zijazo rais wa Ukraine atapinduliwa, kisha Putin ataweka mtu anaemmudu kama yule aliekuwepo kabla ya huyu wa sasa, na biashara itaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
He is just greedy for power….Baada ya hapa atawatafuta wengine anaopakana nao wanyonge arudishe tena U.S.S.R .Kwaio China naye Aivamie Taiwan akitoa sababu kwamba Marekani atajiattach .Au Marekani naye amvamie Mexico kwasababu kama za putin?
 
Wazungu sio watu wa kuwategemea aisee, wanaweza kukulaza mlango wazi hivi hivi
Ni kwamba hao urusi na USA wakipigana ile face to face itakuwa balaa la dunia

Ukitaka kujua kati ya hao wawili wanaogopana mmoja akiwa na maslahi ya sehemu akianza kuonea nchi fulani mwingine hatii mguu kila mtu ana muda wake
 
Umeongopa , Russia ameshati mguu Mara nyingi tu katika nchi ambazo USA huwa anataka kuzipiga , refer Syria na Venezuela
 
Putin anakusanya majeshi na zana za kivita mpakani mwa Poland.

Inadhaniwa kuwa jamaa (Putin) anapanga kwenda hadi Poland.

SmartSelect_20220226-000917_Chrome.jpg

Back
Top Bottom