Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.

We una uhakika gani kama turkey han uwezo dhidi ya Israel?
Na Nani kakudanganya Kurds hawajadhibitiwa na Turkey?
Turkey ina uwezo kuliko udhaniavyo.
Hao Kurds wametandikwa na mipaka ya Syria imemegwa zaidi ya 30km mbele na Turkey kiusalama zaidi.
Israel bila bwana wake US tunajua haan aliwezalo.
Na usituletee porojo ya vitabu vyako vya dini Mungu HAWEZI kumtetea muuaji watoto na wanawake.
 
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.

Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Anazeeka vibaya toka wamemkazia kujiunga na umoja wa ulaya.
 
Embu acha kuropoka.
Hao wakurdi wamepigwa na kiasi ardhi y Syria imemegeka na Turkiye kiusalama zaidi.
Usiichukulie Turkiye poa wewe.
Embu fuatilia ground operation alizofanya juzi mpakani na Syria.
Au haujui Kama

We una uhakika gani kama turkey han uwezo dhidi ya Israel?
Na Nani kakudanganya Kurds hawajadhibitiwa na Turkey?
Turkey ina uwezo kuliko udhaniavyo.
Hao Kurds wametandikwa na mpk wa Syria umemegwa zidi ya 30km mbele na Turkey kiusalama zaidi.
Israel bila bwana wake US tunajua haan aliwezalo.
Na usituletee porojo ya vitabu vyako vya dini Mungu HAWEZI kumtetea muuaji watoto na wanawake.
Sasa syria kuna jeshi au vikundi vya wanamgambo wa kikurdi waliochoka kwenye mpaka wake na uturuki
 
We una uhakika gani kama turkey han uwezo dhidi ya Israel?
Na Nani kakudanganya Kurds hawajadhibitiwa na Turkey?
Turkey ina uwezo kuliko udhaniavyo.
Hao Kurds wametandikwa na mipaka ya Syria imemegwa zaidi ya 30km mbele na Turkey kiusalama zaidi.
Israel bila bwana wake US tunajua haan aliwezalo.
Na usituletee porojo ya vitabu vyako vya dini Mungu HAWEZI kumtetea muuaji watoto na wanawake.
Kwani waarabu wa palestina hawaui wanawake na watoto wa kiyahudi toka karne na karne.Wayahudi wana haki ya kutetea ardhi ya mababu zao mkuu.
 
Mkuu jina lako tu lilivyo lazima uwe na mahaba na turks.
 
Sasa syria kuna jeshi au vikundi vya wanamgambo wa kikurdi waliochoka kwenye mpaka wake na uturuki
MBONA HAO ISRAEL WANAPIGANA NA HAMAS WALIO NA SILAHA DUNI ZA KIZAMANI!?
TENA ISRAEL ATATUMIA JESHI LA ANGA NA MAKOMBORA.
TURKEY INATUMIA MIZINGA MICHACHE TU NA KUFANYA GROUND OPERATION DHIDI YA WAKURD
 
We una uhakika gani kama turkey han uwezo dhidi ya Israel?
Na Nani kakudanganya Kurds hawajadhibitiwa na Turkey?
Turkey ina uwezo kuliko udhaniavyo.
Hao Kurds wametandikwa na mipaka ya Syria imemegwa zaidi ya 30km mbele na Turkey kiusalama zaidi.
Israel bila bwana wake US tunajua haan aliwezalo.
Na usituletee porojo ya vitabu vyako vya dini Mungu HAWEZI kumtetea muuaji watoto na wanawake.
Wenge la tetemeko linamzingua mzee edorgan🤣🤣🤣🤣Anazeeka vibaya na hataki kuachia madaraka
 
MBONA HAO ISRAEL WANAPIGANA NA HAMAS WALIO NA SILAHA DUNI ZA KIZAMANI!?
TENA ISRAEL ATATUMIA JESHI LA ANGA NA MAKOMBORA.
TURKEY INATUMIA MIZINGA MICHACHE TU NA KUFANYA GROUND OPERATION DHIDI YA WAKURD
Mkuu samahani sijakuelewa ebu rudia kunielewesha???
 
Kwani waarabu wa palestina hawaui wanawake na watoto wa kiyahudi toka karne na karne.Wayahudi wana haki ya kutetea ardhi ya mababu zao mkuu.
Hivi umefuatilia kuwa asilimia zaidi ya 30 ya dunia inakaliwa na watu wasio wazawa?
USA NI YA RED INDIES AND CAUCASIANS NA SASA INAKALIWA NA AFRO -AMERICANS na waingereza walioitawala nyuma.
Je nao CAUCASIANS washike bunduki kuirudisha USA?
LETA ushahidi km Palestine imeua wanawake na watoto wa kiyahudi.
Mie ushahidi ninao nakutajia miak ya uvamizi na maeneo Israel alipoua
 
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.

Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Huyu si tumetoka kumpiga jeki wiki mbili zilizopita!!!
 
hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.
Free Abdulah Ocalan and recognize PKK
 
Nachomaanisha Kaka Bora hata Kurds wana nguvu kuliko Hamas ambao Israel hutumia nguvu yake ya jeshi la anga kupambana nao.
Kurds dissapora na makundi yao hawana nguvu except PKK.Hamas wapo organized kuliko makundi yote ya dissapora wa kikurds.
 
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.

Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Free Abudulah Ocalan and recognize PKK
 
Hivi umefuatilia kuwa asilimia zaidi ya 30 ya dunia inakaliwa na watu wasio wazawa?
USA NI YA RED INDIES AND CAUCASIANS NA SASA INAKALIWA NA AFRO -AMERICANS na waingereza walioitawala nyuma.
Je nao CAUCASIANS washike bunduki kuirudisha USA?
LETA ushahidi km Palestine imeua wanawake na watoto wa kiyahudi.
Mie ushahidi ninao nakutajia miak ya uvamizi na maeneo Israel alipoua
Mkuu wayahudi ile ardhi yao ya asili,waarabu na waislamu wapende wasipende mkuu.Kuhusu ushahidi fuatilia huu mgogoro kati ya waarabu na wayahudi tokea mwaka 1935 ndio utapata huo ushahidi mkuu.
 
hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.
Kweli wewe ni kichaa! Unaamini kabisa hiko ulichokiandika paragraph ya mwisho kitatokea siku moja kwamba Mungu atatumia nguvu kubwa hivyo kuwaokoa hao Waisrael! Kweli jamaa wamefanikiwa sana kwenye propaganda za kidini.
 
Kurds dissapora na makundi yao hawana nguvu except PKK.Hamas wapo organized kuliko makundi yote ya dissapora wa kikurds.
Hivi Kaka uliona silaha waazotumia kurd?!
Wana mpaka MLRS hao wachovu!?
Hamas wanatumia vikombora vya masafa mafupi .
At least ungenambia Hizbollah ningekuelewa.
 
Back
Top Bottom