Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu hoja yangu unazunguka Kaka.Mkuu wayahudi ile ardhi yao ya asili,waarabu na waislamu wapende wasipende mkuu.Kuhusu ushahidi fuatilia huu mgogoro kati ya waarabu na wayahudi tokea mwaka 1935 ndio utapata huo ushahidi mkuu.
Halafu usiuhusishe uislam au ukristo katika hii mada utapotea.Mkuu wayahudi ile ardhi yao ya asili,waarabu na waislamu wapende wasipende mkuu.Kuhusu ushahidi fuatilia huu mgogoro kati ya waarabu na wayahudi tokea mwaka 1935 ndio utapata huo ushahidi mkuu.
Kundi lipi sasa la wakurdi mkuu????Maana syria kuna makundi mengi ya wakurdi???Hivi Kaka uliona silaha waazotumia kurd?!
Wana mpaka MLRS hao wachovu!?
Hamas wanatumia vikombora vya masafa mafupi .
At least ungenambia Hizbollah ningekuelewa.
Iwe YPG iwe whatever .Kundi lipi sasa la wakurdi mkuu????Maana syria kuna makundi mengi ya wakurdi???
Nyinyi akina nani?Kwani yeye edorgan kafanya nini kwenye harg Sofia mkuu au kwasababu sisi hatusemi.
Mkuu siwezi kujibu hoja yako sababu umeshaweka udini ndani yake.Kabla ya waajemi,warumi,makhalifa wa kiarabu,waturuki kuvamia hiyo aridhi,kabla ya waingereza kuiita palestina hilo eneo la mashariki ya kati,wayahudi walikuepo na himaya zao miaka mingi.Mkuu ukichanganya mambo ya historia za dunia na mambo ya propaganda za kidini huwezi kuujua ukweli.Hujajibu hoja yangu unazunguka Kaka.
North America wenyewe wapo South America je nao washike bunduki!?
Antalya iliokua ikiitwa Anatolia ni ya Mgiriki asahivi ya Mturuki je Mgiriki amshikie bunduki Mturuki!?
Basi sawa tuseme Palestine ya wayahudi je IDF ilifata Nini Sinai 1967?
IDF ilifata Nini Golan heights 1967?
Miaka ya 1960s na 2006 IDF ilifuata Nini Bint jubeir Lebanon na Syria na Jordan?
Kote huko ni ardhi ya myahudi?????
Kabla hata ya 1935 miaka ya nyuma Palestine ilikabidhiwa kwa Ottoman empire kutoka kwa Byazentine je Israel ilikua wapi???
Kwahiyo Mungu kampa haki Israel tu ya kupambania ardhi yake ya zamani???
Ukitaja kundi husika nitakujibu vizuri sababu mimi ni member wa PKK worldwide na kamanda wetu aliyeko jela Mtukufu Abdulah Ocalan###Free Abdulah OcalanIwe YPG iwe whatever .
Kaka unasoma na kuelewa au unasoma tuu!?Mkuu siwezi kujibu hoja yako sababu umeshaweka udini ndani yake.Kabla ya waajemi,warumi,makhalifa wa kiarabu,waturuki kuvamia hiyo aridhi,kabla ya waingereza kuiita palestina hilo eneo la mashariki ya kati,wayahudi walikuepo na himaya zao miaka mingi.Mkuu ukichanganya mambo ya historia za dunia na mambo ya propaganda za kidini huwezi kuujua ukweli.
Doh kaka ngoja nikuache maana unazunguka Sana mbuyu.Ukitaja kundi husika nitakujibu vizuri sababu mimi ni member wa PKK worldwide na kamanda wetu aliyeko jela Mtukufu Abdulah Ocalan###Free Abdulah Ocalan
Mkuu dini lazima ihusike sababu wayahudi ni maadui wa waarabu na uislamu ndivyo waarabu na waislamu walivyoaminishwa toka enzi na enzi.Na kuna chuki ya waziwazi kutoka kwa waarabu na waislamu dhidi ya wayahudi.Hakuna kitu occupied bali wayahudi wanarudisha aridhi yao iliyotekwa na makhalifa wa kiarabu na waturuki karne nyingi zilizopita.Halafu usiuhusishe uislam au ukristo katika hii mada utapotea.
Israel inaukana ukristo,Palestine Kuna watu wa dini zote na wanaouliwa wakristo wapo mathalan Sheerin Abu Akleh ni mkatoliki pure alipigwa shaba na IDF.
Occupied west bank makanisa yanavunjwa kila uchwao kupanua annexation.
Mkuu unapowazungumzia wakurdi unazungumzia ndugu zangu kiharakati,ndio maana nikakuuliza kundi lipi mkuu la dissapora wa kikurdi.Doh kaka ngoja nikuache maana unazunguka Sana mbuyu.
Mapokeo ya kidini mkuu ni sawa na waislamu wanaamini muhamadi alikua nabii ila wengine tunamuona alikua opportunisty.Ni mapokeo ya kidini mkuu usishangaeKweli wewe ni kichaa! Unaamini kabisa hiko ulichokiandika paragraph ya mwisho kitatokea siku moja kwamba Mungu atatumia nguvu kubwa hivyo kuwaokoa hao Waisrael! Kweli jamaa wamefanikiwa sana kwenye propaganda za kidini.
Mkuu unaweza ukatukumbusha tu jinsi mtume modi alivyoupata utume kule mapangoniMapokeo ya kidini mkuu ni sawa na waislamu wanaamini muhamadi alikua nabii ila wengine tunamuona alikua opportunisty.Ni mapokeo ya kidini mkuu usishangae
Mwambie babu kizee edorgan asiwe na mawenge ya tetemeko la aridhi.FREE ABUDULAH OCALAN AND BIG UP TO PKK,Doh kaka ngoja nikuache maana unazunguka Sana mbuyu.
Nimekutajia YPG hujanielewa Kaka??
Wakurdi km wakurd wenyewe wanajiita hivyo hivyo wapo washika silaha na mwaka huu washafanya tukio kusini me Turkiye.
Me nimemaliza mjadala siku njema Kaka
Ile story alisema yeye hakuna shahidi.Lakini ukitaka kumjua zaidi mtume mohamad na tabia yake kuu soma Adithi Idadi 16:245 ya Ibn Abu Sufyan,utajua tabia za huyo mtume muhamadi.Mkuu unaweza ukatukumbusha tu jinsi mtume modi alivyoupata utume kule mapangoni
Ukitaja kundi husika nitakujibu vizuri sababu mimi ni member wa PKK worldwide na kamanda wetu aliyeko jela Mtukufu Abdulah Ocalan###Free Abdulah Ocalan
Huna hoja hata moja uliojibu Kesha unakimbilia kuudadavua utume wa Muhammad na inaonesha una elimu ndogo na ya kupandikizwa.Ile story alisema yeye hakuna shahidi.Lakini ukitaka kumjua zaidi mtume mohamad kwa kiasi chake soma Adithi Idadi 16:245 ya Ibn Abu Sufyan
Mtazamo wako si upo wazi ni wale watu wenye chuki na wayahudi.Na wanajitahidi kupoteza historia ya asili ya wayahudi dunianiKaka unasoma na kuelewa au unasoma tuu!?
NITAJIE NILIPOWEKA UDINI NI WAPI?!
NIMEKUTAJIA MIFANO YA MATAIFA SIKUTAJIA MIFANO YA KIDINI.
SOMA uelewe Kaka.
Mkuu nimejibu swali nililoulizwa.Kuhusu mzee EDORGAN nadhani tumemalizana aache mawenge ya tetemeko na kukataliwa EU hawawezi wayahudi na mwambie FREE ABDULAH OCALAN ####PKK FOR LIFEHuna hoja hata moja uliojibu Kesha unakimbilia kuudadavua utume wa Muhammad na inaonesha una elimu ndogo na ya kupandikizwa.
NAKUSHAURI ACHA UJUAJI MWINGI HULETA JOHO LA UPUMBAVU