Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

Historia ya Pauka pakawa ya kwenye vitabu vyenu vya dini?
Thibitisha Kwanza hoja za juu badala ya kuzunguka mbuyu.
Quran na Torati zote zina story za pauka pakawa mambo ya kufikirika upo sahii mkuu.Hata mimi siviamini naona porojo tu hapo nakubaliana na wewe
 
hilo ni onyo tu. uturuki ana nguvu ya kivita lakini hana uwezo kuipiga israel. magaidi wa kurdi tu wamemsumbua miongo mingi hadi leo hajawashinda. although kinabii kuna wakati uturuki na urusi wataungana kuipiga Israel, vita ya al magedon, na hakuan US wala wamagaribi watakaokuwa na uwezo kuisaidia Israel, ni Mungu mwenyewe atashuka kwa mvua ya mawe na matetemeko ya ardhi na silaha za asili, atateketeza 3/4 ya jesho lao lote na ndipo Israel watakokoka. hizo ni siku za mwisho na onyo kama hilo bila shaka ni ishara mojawapo.
Hebu ongea chochote kuhusu like tetrmeko lililoua makumi Kwa maelfu ya waturuki
 
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.

Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na kuwauwa baadhi ya waumini waliokuwa wakifanya ibada zao hapo.
Ameanza kampeni za uchaguzi anaeweweseka tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Free Abudulah Ocalan####Long live PKK,kurds they derserve their land taken by turks.Edorgan anazeeka vibaya🤣🤣🤣
 
Hujajibu hoja yangu unazunguka Kaka.
North America wenyewe wapo South America je nao washike bunduki!?
Antalya iliokua ikiitwa Anatolia ni ya Mgiriki asahivi ya Mturuki je Mgiriki amshikie bunduki Mturuki!?
Basi sawa tuseme Palestine ya wayahudi je IDF ilifata Nini Sinai 1967?
IDF ilifata Nini Golan heights 1967?
Miaka ya 1960s na 2006 IDF ilifuata Nini Bint jubeir Lebanon na Syria na Jordan?
Kote huko ni ardhi ya myahudi?????
Kabla hata ya 1935 miaka ya nyuma Palestine ilikabidhiwa kwa Ottoman empire kutoka kwa Byazentine je Israel ilikua wapi???
Kwahiyo Mungu kampa haki Israel tu ya kupambania ardhi yake ya zamani???
Baada ya Israel kuvamiwa na Ottoman empire wakati uislam ukishika kasi (after the fall of Roman empire) ndipo wayahudi wengi walikimbia middle East mpaka Europa,America na wengine kwenda Russia. Sasa kuanzia miaka ya 1940s ndipo walijikusanya na kurudi Middle East kwenye aridhi za babu zao.
Israel ilipora maeneo uloyataja(Golan heights) baada ya kushinda vita dhidi yake na Warabu,baada ya vita ya siku sita mtawalia.
 
Baada ya Israel kuvamiwa na Ottoman empire wakati uislam ukishika kasi (after the fall of Roman empire) ndipo wayahudi wengi walikimbia middle East mpaka Europa,America na wengine kwenda Russia. Sasa kuanzia miaka ya 1940s ndipo walijikusanya na kurudi Middle East kwenye aridhi za babu zao.
Israel ilipora maeneo uloyataja(Golan heights) baada ya kushinda vita dhidi yake na Warabu,baada ya vita ya siku sita mtawalia.
Asante mkuu umenisaidia kumjibu,ila tatizo waarabu na waislamu waga hawauukubali huu ukweli.Wao wanaamini wayahudi hawana haki ya kuhodhi aridhi mashariki ya kati.Kabla ya ottoman empire,maeneo mengi ya wayahudi yalitekwa na makhalifa tofauti tofauti wa kiarabu wakayatawala baada ya kuwashinda warumi,na wao wakaondolewa na waturuki chini ya ottoman empire mpaka pake mwingereza alipochukua hatamu.Ila waarabu wanaujua huu ukweli,basi tu udini ndio unawafumbisha macho.
 
Back
Top Bottom