Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mkuu hivi hujui historia ya wayahudi hapo mashariki ya kati eneo lote hilo linaloitwa Palestine ya leo.Byazentine empire ilipinduliwa kivita na ottoman empire hakukuwa na makabidhiano na wao walirithi empire hiyo kutoka kwa warumi.MKUU KWELI HAUJUI HISTORIA YA WAYAHUDI🤣🤣🤣🤣😂UNAULIZA ISRAEL (WAYAHUDI) WALIKUA WAPI WAKATI BYAZENTINE EMPIRE WANAPINDULIWA NA OTTOMAN EMPIRE???????Hujajibu hoja yangu unazunguka Kaka.
North America wenyewe wapo South America je nao washike bunduki!?
Antalya iliokua ikiitwa Anatolia ni ya Mgiriki asahivi ya Mturuki je Mgiriki amshikie bunduki Mturuki!?
Basi sawa tuseme Palestine ya wayahudi je IDF ilifata Nini Sinai 1967?
IDF ilifata Nini Golan heights 1967?
Miaka ya 1960s na 2006 IDF ilifuata Nini Bint jubeir Lebanon na Syria na Jordan?
Kote huko ni ardhi ya myahudi?????
Kabla hata ya 1935 miaka ya nyuma Palestine ilikabidhiwa kwa Ottoman empire kutoka kwa Byazentine je Israel ilikua wapi???
Kwahiyo Mungu kampa haki Israel tu ya kupambania ardhi yake ya zamani???