Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

Historia ya Pauka pakawa ya kwenye vitabu vyenu vya dini?
Thibitisha Kwanza hoja za juu badala ya kuzunguka mbuyu.
Quran na Torati zote zina story za pauka pakawa mambo ya kufikirika upo sahii mkuu.Hata mimi siviamini naona porojo tu hapo nakubaliana na wewe
 
Hebu ongea chochote kuhusu like tetrmeko lililoua makumi Kwa maelfu ya waturuki
 
Ameanza kampeni za uchaguzi anaeweweseka tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Free Abudulah Ocalan####Long live PKK,kurds they derserve their land taken by turks.Edorgan anazeeka vibaya🤣🤣🤣
 
Baada ya Israel kuvamiwa na Ottoman empire wakati uislam ukishika kasi (after the fall of Roman empire) ndipo wayahudi wengi walikimbia middle East mpaka Europa,America na wengine kwenda Russia. Sasa kuanzia miaka ya 1940s ndipo walijikusanya na kurudi Middle East kwenye aridhi za babu zao.
Israel ilipora maeneo uloyataja(Golan heights) baada ya kushinda vita dhidi yake na Warabu,baada ya vita ya siku sita mtawalia.
 
Asante mkuu umenisaidia kumjibu,ila tatizo waarabu na waislamu waga hawauukubali huu ukweli.Wao wanaamini wayahudi hawana haki ya kuhodhi aridhi mashariki ya kati.Kabla ya ottoman empire,maeneo mengi ya wayahudi yalitekwa na makhalifa tofauti tofauti wa kiarabu wakayatawala baada ya kuwashinda warumi,na wao wakaondolewa na waturuki chini ya ottoman empire mpaka pake mwingereza alipochukua hatamu.Ila waarabu wanaujua huu ukweli,basi tu udini ndio unawafumbisha macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…