Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

Mkuu hivi hujui historia ya wayahudi hapo mashariki ya kati eneo lote hilo linaloitwa Palestine ya leo.Byazentine empire ilipinduliwa kivita na ottoman empire hakukuwa na makabidhiano na wao walirithi empire hiyo kutoka kwa warumi.MKUU KWELI HAUJUI HISTORIA YA WAYAHUDI🤣🤣🤣🤣😂UNAULIZA ISRAEL (WAYAHUDI) WALIKUA WAPI WAKATI BYAZENTINE EMPIRE WANAPINDULIWA NA OTTOMAN EMPIRE???????
 
Kama ni kweli itabidi tutafute Mungu wetu sio huyo wa kupendelea wahuni.
Wapalestine wanakufa wanapotezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…