Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Sawa. Lakini Marekani Haina rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu


Sasa kwanini unasema huwa wanasimama na wananchi wanaoonewa na viongozi wao na unajua hawana urafiki wa kudumu wala uadui wa kudumu? Hawajali chochote kuhusu wananchi, wanachojali ni Maslahi yao.
 
Mchina akiivamia Taiwan yatamkuta ya Russia na ukraine. Hataweza kuimaliza vita hiyo na uchumi wake utayumba sana, na wachina walivyowengi wataanza kulaana wao kwa wao kwa shida watakayopata
 
Marekani hawajali kuhusu haki zako au demokrasia yako wewe mmatumbi, wanajali kuhusu maslahi yao, Hata ukiwa dikteta... ukiwapa wanachotaka hawana shida na wewe, Bongo hatuna cha maana cha kufanya tuingie hata kwenye akili ya Trump, angalau Nigeria wana reserve kubwa ya mafuta, DRC wana rare earth minerals.
 
umesahau URANI iliyojaa Tanzania na ambayo tumeambiwa wanaitamani!
 
CIA wapo kazini sababu tu ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.




View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D


Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.




View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D


UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.
 
Nyeti za Bongo mbona rahisi sana kuzipata, kama Mange anazipata kiurahisi sembuse US Government
 
Nyeti za Bongo mbona rahisi sana kuzipata, kama Mange anazipata kiurahisi sembuse US Government
Huku huyo Marekani na uingereza wana maslahi chini ya hao hao CCM , ndio ukawaona hawajali
 
Mnieleweshe ikitokea hivyo nchi inakua chini ya nani? Maana si wanasema washirika wake wote pia wamesakwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…