gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mchina hawezi shindwa Taiwan, Taiwan watapigwa na kila moto,watapelekewa mtu 2m hujui umpige nani?Mchina akiivamia Taiwan yatamkuta ya Russia na ukraine. Hataweza kuimaliza vita hiyo na uchumi wake utayumba sana, na wachina walivyowengi wataanza kulaana wao kwa wao kwa shida watakayopata
Unaichukulia China kama Urusi kijeshi si ndio.Mchina akiivamia Taiwan yatamkuta ya Russia na ukraine. Hataweza kuimaliza vita hiyo na uchumi wake utayumba sana, na wachina walivyowengi wataanza kulaana wao kwa wao kwa shida watakayopata
Makamu wa rais yupoMnieleweshe ikitokea hivyo nchi inakua chini ya nani? Maana si wanasema washirika wake wote pia wamesakwa?
Huyu tutamkama wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣Police wa dunia haoo nawapenda saana popote duniani wanafika! Waje na Tanzania kisha wabebe na uranium yote tumechoka makelele ya mwigulu
Cc mwglHawawezi, bado maslahi yao hayajaguswa
Kabisa.Ila Russia sio ya kuiamini kabisa
Sio kizembe. Marekani na Israel wana Intelligence hatariPamoja na mbwembwe zake zote hizo amekamatwa kizembe hivyo!!
Trump katanda kamba huko hatoki mtu
Wakikutaka wanakuchukua kama kuku tu bandaniWho Are you atakuwa anajificha kila siku