GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
nimecheka hapa kazini mpaka watu wameshangaaa ila GENTA eti acha ushamba we mtoto wa zamaniUmetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
Mama yako anacheza namba ngapi huko kwenye mashindano ya kina mama?Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
Hapa Sasa utaambiwa alikuwa anawahi kwenye majukumu ya kiofisiUmetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tuUmetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
Injinia wa boliHivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Sijawahi kusikia kokote dunianiInjinia wa boli
Wanacheza wamama wa SimbaMama yako anacheza namba ngapi huko kwenye mashindano ya kina mama?
Mtoa mada ni popomaMbona zipo video Mangungu baada ya mechi amekataa kuongea na kusema hakuwa tayari kuongea chochote.
Rais wa timu alazimiki kutoa maoni baada ya mchezo kama hajisikii kufanya hivyo maana kwa wakati huo unaweza kuta alijua hana la kuongea
Ndio maana siku ya pili wakati akiwa vizuri aliongeza na Wana Yanga na Wapenda michezo.
Makocha ndio wanao lazimika kuongea baada ya mchezo.
Ni vitu vidogo lakini inatakiwa mashabiki mvitambue.
Mtoto wa Faya hapo hizo Flats za NHC na alikuwa jirani sana na Ghorofa alilokuwa akiishi Kocha Mkwasa na huyu Mwanasimba Brazameni na aliyewahi kuwa Wakala wa Wachezaji Tanzania Said Tully. Aache huo Ushamba Yeye ni Mtu wa Mpira na Watu wa Mpira hatuna Pigo hizo za Kipumbavu. Kanikera mno.nimecheka hapa kazini mpaka watu wameshangaaa ila GENTA eti acha ushamba we mtoto wa zamani
Injinia wa K's za Tabata alipogambana na Kocha Gamondi baada ya Kumzidi Kete kwa Totooz moja Kali iitwayo Fety.Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Huyu ni fundi mchundo. Wale wa "fundi soma hiyooo"Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Hata technician HanaHuyu ni fundi mchundo. Wale wa "fundi soma hiyooo"
Kama kuna mtu anabisha alete CV zake ili wapo hapa wamjuao akichokisoma DarTech wamwage Mchele.
Ila ni mpaka mbishe kuwa sio fundi mchundo yaani Technician
Hawa jamaa ukiwaita fundi mchundo wanamind balaaa sijajua kwanini!Huyu ni fundi mchundo. Wale wa "fundi soma hiyooo"
Kama kuna mtu anabisha alete CV zake ili wapo hapa wamjuao akichokisoma DarTech wamwage Mchele.
Ila ni mpaka mbishe kuwa sio fundi mchundo yaani Technician
Hawa jamaa ukiwaita fundi mchundo wanamind balaaa sijajua kwanini!