GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?