Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.

Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
 
Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
 
Screenshot_2025-01-21-11-00-56-119_com.twitter.android~2.jpg
 
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.

Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
nimecheka hapa kazini mpaka watu wameshangaaa ila GENTA eti acha ushamba we mtoto wa zamani
 
Hapa Sasa utaambiwa alikuwa anawahi kwenye majukumu ya kiofisi
 
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.

Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
 
Mbona zipo video Mangungu baada ya mechi amekataa kuongea na kusema hakuwa tayari kuongea chochote.

Rais wa timu alazimiki kutoa maoni baada ya mchezo kama hajisikii kufanya hivyo maana kwa wakati huo unaweza kuta alijua hana la kuongea
Ndio maana siku ya pili wakati akiwa vizuri aliongeza na Wana Yanga na Wapenda michezo.

Makocha ndio wanao lazimika kuongea baada ya mchezo.
Ni vitu vidogo lakini inatakiwa mashabiki mvitambue.
 
Mtoa mada ni popoma
 
nimecheka hapa kazini mpaka watu wameshangaaa ila GENTA eti acha ushamba we mtoto wa zamani
Mtoto wa Faya hapo hizo Flats za NHC na alikuwa jirani sana na Ghorofa alilokuwa akiishi Kocha Mkwasa na huyu Mwanasimba Brazameni na aliyewahi kuwa Wakala wa Wachezaji Tanzania Said Tully. Aache huo Ushamba Yeye ni Mtu wa Mpira na Watu wa Mpira hatuna Pigo hizo za Kipumbavu. Kanikera mno.
 
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Injinia wa K's za Tabata alipogambana na Kocha Gamondi baada ya Kumzidi Kete kwa Totooz moja Kali iitwayo Fety.
 
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Huyu ni fundi mchundo. Wale wa "fundi soma hiyooo"
Kama kuna mtu anabisha alete CV zake ili wapo hapa wamjuao akichokisoma DarTech wamwage Mchele.
Ila ni mpaka mbishe kuwa sio fundi mchundo yaani Technician
 
Hata technician Hana
 
Hawa jamaa ukiwaita fundi mchundo wanamind balaaa sijajua kwanini!
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=ypVdi1E-oa4

exclusive interview with Hersi Ally Said, the visionary leader behind the resurgence of Young Africans. As a visionary leader in Tanzanian football, Hersi has steered Yanga to remarkable heights, transforming the club both on and off the pitch. Join us as we follow his journey, the challenges he's overcome, and his ambitious vision for the future of Yanga and African football as a whole. This is an insight into the mind of a leader reshaping the landscape of the sport on the continent.
 
Back
Top Bottom