Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Angalia Kwanza mifano aliyotoa. Ukimaliza sema huyu mtu ni mjinga. Tatizo watu wengi humu hata hawajui hiyo ICC inafanyaje kazi. Niambie Inchi ngapi duniani zinaweza kumkamata Rais wa Urusi!
 
Amiri jeshi mkuu akapige siasa wakati uko vitani?

Crap
 
Angalia Kwanza mifano aliyotoa. Ukimaliza sema huyu mtu ni mjinga. Tatizo watu wengi humu hata hawajui hiyo ICC inafanyaje kazi. Niambie Inchi ngapi duniani zinaweza kumkamata Rais wa Urusi!
Mkuu tuache muda uongee,lakini kwasasa Putin ni mhalifu anayetafutwa na ICC,ni suala tu muda lazima afikishwe the Hague.
 
Hata yeye anapasua anga kule Ukraine kwa makombora mazito ya hypersonic.
 
Waanze kumkamata obama, bush, tonny blair bila kumsahau yule rais wa ufaransa aliyepita.
 
Mashoga mmekuja na habari za kujifurahisha baada ya kuona uwanja wa vita umekuwa mchungu sana kwenu. Mtakaowapata ni wapumbavu tu, welevu wanaishia kucheka tu na kupuuza
 
Hata mimi ninaamini ATAFIKA TU TENA HAITACHUKUA MUDA!
Naona kina shoigu wanaitaka hiyo nafasi kwa gharama yeyote!
 
Hivi Urusi ni mwanachama wa hii mahakama tofauti na Marekani ambayo hawaiitambui hii mahakama?
ICC inashughulika na mhalifu individuallly sio nchi

Nchi iwe mwanachama au la wao humtaka mhalifu wao afikishwe the Hague

Sababu kule haishitakiwi nchi ni mhalifu individual

Putin anatakiwa kama individual sio Russia inatakiwa The Hague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…