Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

ICC haihusiki na nchi huhusika na mhalifu individually tu wao sio prosecutors wa nchi kwa mandate ya ICC

Nchi awe mwanachama au asiwe it is non of their business

Wao kazi yao ni ku deal na wahalifu wa kivita individually popote walipo duniani iwe nchi wanachama au sio wanachama mradi yupo wanamtaka

Ndio Mandate ya ICC

Putin anatakiwa The Hague as individual no excuse

Mashtaka ni ya Putin as individual sio nchi ya Russia
 
Atakamatwa na Warusi wenyewe kama majenerali wa Sudan walivyokubali kuwapa ICC Omar Al-Bashir baada ya kumchoka.
 
Hawana uwezo wa Kumkamata Putin.
 
Huwez address unga mpaka upate mwaliko toka un na us watoe viza

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
 
whether ni mwanachama au sio warrant imetoka sasa ni juu ya majemedari wema wa urusi kumkabidhi huyu mtu ICC ili wajenge nchi yao na uchumi wao urudi, na udikteta uwe ndio mwisho katika utawala wa russia.
Teh Bashir wa sudan tu hapo mlimshindwa sembuse Putin jamaa akaenda hapo Uganda Museveni akawaambia hao icc waache ushoga bashir hakamatwi na hamna la kumfanya.......... Mrusi kaandaa mkutano mkubwa na nchi za Africa, mashariki ya kati mchina kawavuta waarabu..... Tunapoelekea hata UN itakosa nguvu watu wanakutana wanaoelewana wanakubaliana na maisha yanaenda
 
Mkuu,mtu awe mwanachama au sio kushtakiwa kupo pale pale kinachomlinda kutokuwa mwanachama ni kutowajibika kumkamata,lakini akithubutu kukanyaga nchi 123 wanachama wa ICC anatakiwa kukamatwa mara moja
 
Hakuna nchi ambayo itapenda kujiingiza kwenye mgogoro wa kivita na Russia kwa Intereste za US ndugu yangu, ata US wenyewe hataki hii kiu kianzie kwao, wao mdiyo maana waakuchonganisha nayeye then wanawaagalia kwa kuwapa support!

Rais wa Serbia ameweka wazi kuwa muolekeo wanaoendanao nchi za Kimagharibi sio mzuri utakuja kuleta vita kubwa kuwah kutokea.

Mwisho kabisa nakuambia kuwa ata Marekani wenyewe 2002 Bush alisain sheria ambayo inampa mamlaka Rais kutuma kikosi cha jeshi kwenda kumuokoa Raia wake yeyote ambae ameshtakiwa katika Mahakama ya ICC. Sheria inaitwa "The Hague Invasion Act", na kama hiyo haitoshi mwaka 2020 ICC ilitaka kuifanyia uchunguzu US kwa uhalifu wa kivita Afriganstan maana Afriganstan ni mwanachama wa ICC ila marekani waliwatishia majaji kuwa itawafungia Visa zao za kuingia US au kuwakamata kabisa.
 
Dmitry Medvedev concluded it!
 
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
Ratiba ya BRICS ilipangwq kabla ya warranty chief! Atatuma foreign minister I tell you.
 
Kwa maana Putin wamuingizie mamluki labda. Which is a very tough task.
 
Hahahaha halafu huyu mtu ndiye ambaye anataka Putin ashikwe wakati yeye alitishia majaji wote wanaojipendekeza kuandika hilo shauri la mashtaka.
 
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
Waache wajidanganye tu 🤣🤣🤣 kwamba kuna wa kumkamata Putin
 
Ni Mjinga, NATO wameua watu Syria, Libya, Iraq , Yugoslavia,

Waliwah kuwafikisha ICC?.

Mahakama hiyo Toka ianzishwe mwaka 2002 yenyewe inahukumj Waafrika tu ambao ndio majinga hayajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…