Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Umetaja nchi gani waliofikishwa mahakama hiyo? Sasa tumia akili zote. Hicho sio cha kufugia nywele tu.
Bush alifikishwa? Je Obama. Hiyo kazi yake ni kukandamiza nchi maskini.
Nashangaa hatujitoi humo
 
Sio osuji ila Ushuzi,, karopoka Ushuzi mtupu,,
 
Mwambieni na Babu Baideni aende moskow au St Petersburg,, Tuone habari yake,,
 
Naongelea mataifa yenye nguvu zaidi duniani Europe sio ushirikiano na nchi maskini hawatavuna chochote, Putin anaweza pelekwa ICC ni wenyewe russia, amri ya mahakama ni hatua moja na kukamatwa ni hatua nyengine, vuta subira tuone itakuwaje
 
upeo wako mdg kumiliki smart isikufany kujiona level moja na ICC
 
Marekan hawakukamati kwasabab za kidiplomasia , ila atakamatwa nchin kwake au aKienda nchi nyngne lkn sio USA
 
Kaingiza Urusi vitan bila ridhaa ya bunge unasemaj Russia wapo pamoja na Putin ?
 
Reactions: Tsh
whether ni mwanachama au sio warrant imetoka sasa ni juu ya majemedari wema wa urusi kumkabidhi huyu mtu ICC ili wajenge nchi yao na uchumi wao urudi, na udikteta uwe ndio mwisho katika utawala wa russia.
Unangelea kwenye shit hole lako au mdomoni?
 
Angalia Kwanza mifano aliyotoa. Ukimaliza sema huyu mtu ni mjinga. Tatizo watu wengi humu hata hawajui hiyo ICC inafanyaje kazi. Niambie Inchi ngapi duniani zinaweza kumkamata Rais wa Urusi!
haya mambo ni makubwa akili yako bdo ya kuyaelewa , una pupa nyng unataka kauli itoke leo mtu akamatwe kesho , sio hivyo kwa wazungu
 
Upo sahihi kabisa, kumkamata Rais Putin hata akiwa ziarani nje ya Urusi sio rahisi hata kidogo na ngumu kutekeleza...

...hii hati labda itamzuia Putin kusafiri kwenda baadhi ya nchi tu (sio zote) ila sio kutosafiri kabisa kwa hofu ya kukamatwa.
 
Mimi sizani kama jamaa atafanya Kama mmarekani anavodhani kwa sababu Putin anajiamin na isitoshe ICC Mara nyingi inawakabiri sana viongozi wa afrika mf Uhuru Kenyatta mwaka 2013
 
Mashoga mmekuja na habari za kujifurahisha baada ya kuona uwanja wa vita umekuwa mchungu sana kwenu. Mtakaowapata ni wapumbavu tu, welevu wanaishia kucheka tu na kupuuza
masaa 72 had mwaka kwel hali ngumu kwa mashoga zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…