Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Muda utafika, mamlaka huisha, na inawzekana rafiki mkubwa alie ku support wakati ukiwa madarakani ndo akakupeleka mbele ya pilato ili kumaliza mabaki ya utawala wako. Muda utafika wa kulipia uovu.
 
Bush vipi, Blair je?
 
hii nchi yetu ina wagonjwa wa akili wengi sana,
yani kuna mpuuzi anaamini kabisa eti Putin atapelekwa ICC, ni kiwango cha juu sana cha ukichaa kuamini suala hilo,
haya mambo yapo juu ya upeo wako , kwa akili yako fupi unahis kuna jeshi litaenda kumtoa , wenzo wamefungua milango kwa wapinzan kumtoa Putin , yaan wapo pamoja na yeyote anaetaka kumchallenge Putin nchini Urusi yaaan wanamwongezew mgogoro mwingine nchini mwake
 
Kutokuwa mwanachama haiizui ICC kutotoa haki ya kuwakamata wahalifu inaowataka kwenye hizo nchi........ isipokuwa tu kesi zao haziwezi kuendesha bila ya watuhumiwa kuwepo kizimbani.

Sudan ya Al Bashir sio mwanachama ila hati ya kumkamata Bashir ilitolewa, Libya haikuwa mwanachama ila mtoto wa Ghadaffi Seif Al Islam ilitolewa hati ya kumkamata.
 
umeandika upumbav mwng badala ya kualaumu Uporaji wa Crimea 2014 ukraine alikaa kimya kuepuka vita ila Urusi hakuridhika bado akaivamia Ukraine nzima bado kwa uzuz wako unaualumu upande uliovamiwa
 
Yaan waafrica tupo kama kuku anachinjwa mwenzao waliobaki wanasogea kushangaa.
Hiyo mahakama haiwahusu wazungu ni kwaajili ya kuzibana nchi za africa zifanye matakwa ya wazungu ikiwemo democrasia. Mfadhili mkuu wa hiyo mahakama ni mmarekani, jiulize kwa nn yeye sio mwanachama. Na jiulize kwa nn marais wa africa tu ndonwahanga, na kwa nini idadi kubwa ya nchi wanachama zinatoka africa. Hebu tuamke basi hata kidogo tu
 
ICC inashughulika na mhalifu individuallly sio nchi

Nchi iwe mwanachama au la wao humtaka mhalifu wao afikishwe the Hague

Sababu kule haishitakiwi nchi ni mhalifu individual

Putin anatakiwa kama individual sio Russia inatakiwa The Hague
Waanze kushtakiwa Bush na Tony Blair
 
Mkuu,mtu awe mwanachama au sio kushtakiwa kupo pale pale kinachomlinda kutokuwa mwanachama ni kutowajibika kumkamata,lakini akithubutu kukanyaga nchi 123 wanachama wa ICC anatakiwa kukamatwa mara moja
[emoji38][emoji38][emoji38]labda Putini ila si Putin
 
Atafika Vizuri na Hakuna mtu anaweza kumkamata Rais wa Urusi awe Madarakani au awe Amestaafu..Kwa nyie msiojua hii Dunia Rais wa Urusi sio Rais wa Burundi...narudia tena Vladimir Putin sio Sawa na George Weah...Hatakaa afike huko kwa wajinga matapeli wa ICC...WANAOCHAGUA NANI wamkamate nani wampe kesi..stupid...Hawana uwezo na nchi yeyote ikifanya jaribio la Kumkamata Putin iwe tayari kugeuzwa jivu muda huo huo...Nyie mnacheza nini??
 
whether ni mwanachama au sio warrant imetoka sasa ni juu ya majemedari wema wa urusi kumkabidhi huyu mtu ICC ili wajenge nchi yao na uchumi wao urudi, na udikteta uwe ndio mwisho katika utawala wa russia.
NChi yake ikipitisha sheria kuwa nchi itakayomkamata Rais wake kwa ajili ya kumleleka ICC itakuwa ni kitendo cha kivita au tangazo la kivita na litajibiwa haraka sana,je ni nchi gani itaweza kumkamata Putin? Taja angalau tatu.
 
Hii Vita ya Ukraine inafadhiliwa na hao Majambazi ili yauze silaha lakini Mwisho wake wote watalia ...Ikiwa kama Wewe ni Mkweli kwanini ufungie TV zinazotangaza habari usizozipenda?? kwanini Utumie media zako kueneza uongo na laana za ushoga na Kushutumu wengine kwa mauaji huku wewe USA NA Ulaya wakiendeleza mauaji ya watu wengi kila mara..Ikitokea Kiongozi asietaka hizi laana kule kwao wanamuondoa madarakani..Ndicho walichomfanyia Trump....Wanafanya Juu chini wamshitaki asishiriki uchaguzi kabakie kale kazee kanakosinzia hovyo katatuletea balaa iko siku mbaya mrusi ataona kama mbaya basi iwe mbaya..AKALIVURUMUSHA DUDE wote tutaisha..hawa wajinga wasitufanye sisi mazuzu..ICC ni mahakama ya kitapeli hatuitaki wala hatuitambui...
 
Ratiba ya BRICS ilipangwq kabla ya warranty chief! Atatuma foreign minister I tell you.HNahaha 🤣🤣🤣 onn mm nmm mm me mm
Hujawahi ata kumsikia Angela Merker? akiwalaumu wenzake wa Magharibi kwa kutozingatia matakwa ya Russia na kujiona wao wana haki na Russia hawana haki? Hujasikia Zelesky mwenyewe akisema alisaini tu Misk Agrement kwa zuga lakini hakuwa na mpngo wowote wa kutimiza matakwa ya Russia!
umeandika upumbav mwng badala ya kualaumu Uporaji wa Crimea 2014 ukraine alikaa kimya kuepuka vita ila Urusi hakuridhika bado akaivamia Ukraine nzima bado kwa uzuz wako unaualumu upande uliovamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…