Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Both are faces of the same coin. Rais wazambia kachoma mafuta kwenda UN kuongea for 2mins huku akijua fika UN don't care what African presidents say. UN inafanya inachotaka kufanya bila kujali waafrica mnasema nini. Huku hawa wengine wamechoma mafuta kwenda kwenye mazishi.
Rais wa zamani wa Namibia, Khama, alikua haendi kwenye mikutano ya UN kwa kudai ni useless. Unaenda ili uongee for 2mins na kurudi zako kwenu. Hata JPM alikua hataki huo utopolo.
Kadhalika Hichilema kaenda NY wakati Biden kaenda UK, what does that say? Wakuu wote wa nchi wapo UK huko UN anaenda kuongea na mabalozi tu, angeenda zake UK kukutana na marais wenzie. Wenzake wanasocialize hata kama ni msibani. Hichilema kapuyanga.