Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

Both are faces of the same coin. Rais wazambia kachoma mafuta kwenda UN kuongea for 2mins huku akijua fika UN don't care what African presidents say. UN inafanya inachotaka kufanya bila kujali waafrica mnasema nini. Huku hawa wengine wamechoma mafuta kwenda kwenye mazishi.

Rais wa zamani wa Namibia, Khama, alikua haendi kwenye mikutano ya UN kwa kudai ni useless. Unaenda ili uongee for 2mins na kurudi zako kwenu. Hata JPM alikua hataki huo utopolo.

Kadhalika Hichilema kaenda NY wakati Biden kaenda UK, what does that say? Wakuu wote wa nchi wapo UK huko UN anaenda kuongea na mabalozi tu, angeenda zake UK kukutana na marais wenzie. Wenzake wanasocialize hata kama ni msibani. Hichilema kapuyanga.
 
Toka zako hapa punguani mkubwa. Mkutano wa UN ni kwa manufaa ya wazambia . Mazishi ya malikia yatatusaidia nini?
 
Acha kujifanya unajua Sana. Mkutano ni tarehe 22-9-2022, so hao wakina Biden unaowataka watakuwepo mkutanoni
 
Sasa picha kama hii tungeitoa wapi?

IMG_20220919_190618.jpg
 
Hamna acha hao hao walioenda wakavuliwe umaarufu fake. Majizi ya kura wazungu wamejua cha kuwaonyesha.
Halafu ni aibu kwenda kumzika kitukuu wa wakoloni hawa walitunyonya. Halafu kuna ile taji iliyopo pale juu ya jeneza ni madini kutoka Tanzania Ruby,Saphire,diamond. Imagine walibeba bureeeee.
 
Toka zako hapa punguani mkubwa. Mkutano wa UN ni kwa manufaa ya wazambia . Mazishi ya malikia yatatusaidia nini?

Acha uzwazwa wewe pimbi. Lini mkutano wa UN umekusaidia we shangazi? Wazambia Wananuka njaa Hadi kwenye jasho lini hiyo mikutano imewasaidia?
 
Kupandishwa usafiri wa bus lenye viwango ili kuwahi kufikishwa muendako, na kuepusha msongamano barabarani sio kudhalilishwa.

Lile ni Ngorika au chakito tuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]
 
Acha uzwazwa wewe pimbi. Lini mkutano wa UN umekusaidia we shangazi? Wazambia Wananuka njaa Hadi kwenye jasho lini hiyo mikutano imewasaidia?
Hivi natakiwa kukujibu we shithole?
 
Acha kujifanya unajua Sana. Mkutano ni tarehe 22-9-2022, so hao wakina Biden unaowataka watakuwepo mkutanoni

Mikutano ya UN imekusaidia nini Hadi Leo kama Marais wenu Kila siku wanaenda kuongea for 2mins na kurudi kwao?

Vp Marais ambao hawaendagi huko UN nchi zao haziendelei? Nyie na Namibia wapi Kuna maendeleo?

Shida za wazambia zitaisha kwa Rais wao kwenda UN kila siku kuongea for one minute? Nonsensical.
 
Wapewe zile treatment wanazopewa wakiwa hapa. Hapa huwa tunawaona wakiwa na maVX, ving'ora kibao, mabunduki kama yote.
Kwa akili yako fupi unafikiri treatment hiyo ingewezekana kiusalama kwa wingi wa wakuu wa nchi waliopo Uingereza kwa sasa?
 
Back
Top Bottom