Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Zanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukia
Watalii wengi wanaokwenda Zanzibar ni wataliano na wao malipo yote ya kustarehe Zanzibar wanayafanyia huko huko kwao kabla ya kuja hivyo jamaa zetu wanaambulia kiduchu!!
 
Unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano
 
unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano
Naunga mkono hoja yako
 
Safi sana Tanzania yangu nikupendaye sana,
 
Safi sana
 
Wakati wa ulipwaji wa mkopo huu utashangaa Bara wanaulipa mkopo wote 1.3 trilion na visiwani watapiga kimya
ara
Hiyo Tanganyika ipo Sehemu gani kwenye ramani ya nchi?
Sheria ya kuthibitisha TANGANYIKA KUWA JAMUHURI IMEFUTWA LINI na mpaka leo imo kwenye katiba.
Ushaiona tanganyika
Nchi ya mazuzu
 
unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano

Waunguja wameshaolewa na wapemba mkuu, hawawezi kufurukuta tena
 
Wachapakazi
 
Zanzibar wamechukua 18% ya mkopo

Extremely unfair to Tanganyika

Zanzibar kuna watu wachache kuliko Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni yenye watu 1.7 million. Yani Wazanzibar hawawezi kujaza nyumba, viwanja na mashamba ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni.

Zanzibar kwa ukubwa inaingia Halmashauri ya Sikonge mara 14. Sikonge ni kipande tu cha wilaya mpya kilichomegwa kutoka wilaya ya Urambo.

Uchumi wa karafuu, uvuvi, utalii na kila kinachoendea Zanzibar ni mdogo kuliko uchumi wa mgodi mmoja wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama.

Zanzibar ni mfano wa wilaya, walipaswa wapewe nusu asilimia ya mkopo, 0.5%. Yani 1 gawanya kwa 180 (idadi ya wilaya) zidisha mara mia moja = 0.5% ya mkopo.

Zanzibar wanatunyonya sana Tanganyika. Nyerere alituuza kama mbuzi wa mnadani
 
Baba moja mama moja. Samia Ali Hassan Mwinyi na Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Neno la mtaani.

 
muungano imara
 

Aliwauza kwa kuuwa zaidi ya watu elfu 10 ,Na mzimu Wake unaendelea kuuwa wa Zanzibar kila siku Za uchaguzi zikifika , uchaguzi wa 2020 mlikodi mpaka majeshi ya Burundi kuendeleza mauwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…