Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano
Upemba upo wapi na uunguja ? na hawa watu wameowana na wote ni waislamu. ? Uunguja na upemba upo kwa watu kutoka Tanganyika waliovamia Unguja na ambao ndio waliletwa na Nyerere kupindua na hivi Sasa wanaletwa Na CCM kulinda uvamizi Na Mapinduzi Yao Na Muungano
Watu hawa hawana makwao hapo Unguja na Pemba pia , ili ku survive ndio wanajaribu kuleta hizi fitina Za uunguja Na upemba na hawafanikiwi
 
Wazalendo wa Muungano
 
Muungano wetu daima
 
Click to expand...
Kwa kazi hizi huyu mama ajengewe Mnara pale Dodoma ili kumuenzi,

Haya mambo anafanya hayakutegemewa kabisa hata siku moja,

Hongera Sana Rais Samia
 
 
Kazi nzuri viongozi wangu
 
Kazi nzuri viongozi wangu

Kazi nzuri sana hii hapa


Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


Emmanuel Abara Benson

November 12, 2021 10:59 AM





Poorest countries in Africa in 2021


  • The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.
  • The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.
  • Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.



Among these heavily indebted poor countries are: Ghana, Tanzania, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.





 
Mbona Tanzania imetajwa marambili?
 
Kwa hiyo Bara ( Tanganyika) wamekopa afu wakagawia Znz?!
Je, nani atalipa portion ya Znz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…