Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Haya mambo yenu ya kijinga ndio yanadogosha muungano mkuu
 
Haya mambo yenu ya kijinga ndio yanadogosha muungano mkuu
wewe ndio mjinga kwa sababu huna upeo wa kuchambua faida na hasara za muungano

sio kila muungano una faida, ndo maana Uingereza wamejitoa kwenye muungano wa EU, unadhani wao wajinga ?
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania na Samia mwendo ni mzuri sana
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…