Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

Tanzania Bara ni Nchi na Zanzibar ni nchi!
Yani hapo nimetoa ufafanuzi nzuri haina haja ya kuvutana. Ni kwamba ukishakuwa na mainland it means kuna island. Over. Tusipende kutetea vitu visivyowezekana. Au hili nalo linahitaj ligi km la bandari.
 
Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.

Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Asitufanye hatunazo.
Kuuza rasimali za Tanganyika ndio aje na upulusi huu
Tanganyika ni sasa
 
Wajinga hawa
 
Tanzania mainland (Tanzania bara) ndio nchi gani? Kwanini anamekwepa kutamka honorable ministers of the United Republic of Tanzania? Kilichojificha kimeshajitanabaisha tayari kwa WaTanzania... yajayo yanahuzunisha sana kwa nchi ya Tanzania
 
Tanzania bara ndio ile nchi ya kigeni ambayo Samia amebahatika kuwa rais wake na ndio hilo bara kubwa analouzia waarabu.
 
Sikuhizi sijui namuonaje aisee... Dah Mwenyezi Mungu anisamehe
 
Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.

Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Mbarawa ni wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…