Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Ndo mana tunamsanua hapa. Anayoambiwa hapa hawezi ambivalent hata na hao TISS.

Huko CCM ndo wanasubiri aje mwingine makundi mengine wapate ulaji.
Mauaji, utekaji havistahili. Na ukemewe kwa nguvu zote. Lakini sidhanj hiyo kauli ya Mhe Rais, imekuwa na uzito mkubwa kiasi cha kuwasukuma kufanya uhaini huo.
 
Soma alichoandika huyo halafu fananisha na nilichomjibu.
Pia kuwepo kwa wanafunzi wa Kichina USA hakuondoi kuwa China sasa hivi ndio inaongoza kwa R&D.
We Kilaza soma hii:


The Chinese Cruise Ship β€˜Adora Magic City’: Chinese built, Italian designed, part American financed.
 
USA GDP 28.78 Trilion dollar
Tanzania gdp 78 billion
Iraq gdp 265 billion usd

Sasa yupi hapo mjinga

Kweli mjinga hajijui kuwa mjinga
Kwani akiwa na GDP kubwa ndio inatakiwa ampangie nani jinsi ya kuendesha Nchi?

Wapumbavu sana nyie Wapinzani mtafinywa na tuone kama atawasaidia huyo anaewatuma
 
Ndege tu anazosafiri nazo zimetengenezwa na kampuni zoo. Teknolojia zote wanazo wao!

Wakitaka kukufudisha wanaweza kukuzimia mitambo ndege yako ikiwa angani tu tukarudisha mpira kati!
Okay,kwani hizo ndege anapewa bure. Alicho kiongea ni sahihi sana maana wamekihuka kabisa mikataba ya mahusiano ya kimataifa.MWISHO TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE. SAY NO NEO-COLONIALISM
 
Ngoja kabisa niandike LIKE
 
Yaani mtoa mada ni mjinga mmja na jitu lioga kama demu.

Uganda,Rwanda,West Africa, Ethiopia nk kote huko wamekataa upumbavu wa kupelekeshwa na kupangiwa na wanasonga mbele na hakuna kilichofanyika.

Wapinzani wanyooshwe tuone kama bwana zao watawasaidia
 
Hivi wewe una akili timamu kweli? Nchi zipi zinasonga mbele?
 
Hizo nilizokutajia zinarudi kinyume nyume? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Niger imewatimua Jeshi la Marekani umeona wanarudi kinyume nyume?

Nchi gani zilizochekelea vibaraka wa West (Wapinzani ) zikasonga mbele?
Hivi wahamiaji haramu wanaosumbua nchini wanatoka nchi gani???

Unajua hao Niger hata umeme hawana?

Kweli wewe bure kabisa!
 
Hivi wahamiaji haramu wanaosumbua nchini wanatoka nchi gani???

Unajua hao Niger hata umeme hawana?

Kweli wewe bure kabisa!
Movement ya watu ipo all over the World.

Tanzania hatutoi Wahamiaji,hakuna mtu mjinga anaweza kimbia Nchi hii labda vibaraka
 
Huwa sijadiliani na watu waoga. Uoga ni upumbavu. Kama Nyerere angekuwa na akili kama zako mpaka leo tungekuwa chini ya wakoloni.

Uoga ni Upumbavu wewe ni muoga.
Sawa usie muoga alafu unategemea hela za wafadhili kukujengea hadi vyoo vya shule
 
Sawa usie muoga alafu unategemea hela za wafadhili kukujengea hadi vyoo vya shule
Acha mbwembwe za kishamba mdogo wangu. Yeye kasema ataongea na wale waliowatuma kuwawakilisha huku.
Diplomasia siyo u mbumbumbu kama wako huu. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Uoga wako peleka kwenye familia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…