Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako wanaishi kama wako peponi ! Kiuhalisia ni kwamba wanakumudu ! Ni vyema viongozi wasikalie ofisi kwa muda mrefu ikiwezekana iwe mwaka mmoja mmoja ! Wanaingia wengine ! Serikali yako iruhusu ukaguzi huru na tume ya maadili iwe na meno ya kufuatilia utajiri wa kutupwa wa mawaziri wako !! Kuna waziri wako mmoja anajilipa ml 74 kwa mwezi na Bado amefungua makampuni makubwa yenye usajili unaoanzia na neno z!! Huko ndio kichaka Cha kutakatishia fedha ! Kwa nini wateule wako wanatumia mali za umma kama mali zao binafsi? Mimi nashauri hili Baraza lote lipumzike isipokuwa waziri mkuu na naibu waziri mkuu ifanyike rotation na sura mpya ziingie kazini !!
Sasa anajitahidi nini kama yupo ofisini na upigaji ni mwingi hata wewe unakiri bayana. Watu wanakula urefu wa kamba kuliko mda wowote katika historia ya nchi yetu. Anajitahidi nini sasa ?! Au anajitahidi kupaka wanja na kurembua ?
 
Kama unauelewa ufisadi uweke wai, unagfikiri wote tunafahamu codes zako?

Watanzania mbona mnakuwa wajinga namna hiyo?

Si useme tu, waziri fulani, anajilipa hivi. Ana kampouni hii na hii na hii ambazo zinaendeshwa kwa mhgongo wa waziri kutumia madaraka yake serikalini.

Bila hivyo unabaki kuwa ni ujinga tu.
Wapuuzi hao wanaropoka tuu hawana ushahidi.
 
Ndio ,Kwa Tanzania hapa Ukiwa una deliver watu wanahalalisha upigaji.

Pili mtoa mada ametaja hata jina Moja au uthibitisho wa upigaji?

Na wewe nioneshe huo upigaji ulipo.

Mwisho kama Kuna upigaji miradi ingekwama,Ajira zingekwama na Nchi ingeparaganyika kama huko Kenya wanakotapatapa.
Huna akili, its just simple...
 
Sasa anajitahidi nini kama yupo ofisini na upigaji ni mwingi hata wewe unakiri bayana. Watu wanakula urefu wa kamba kuliko mda wowote katika historia ya nchi yetu. Anajitahidi nini sasa ?! Au anajitahidi kupaka wanja na kurembua ?
Yeye kama rais anatimiza wajibu wake watendaji wake ndio wanaomwangusha
 
Ukiona watoto toka familia fulani ni wezi, yawezekana wamejifunza kwa marafiki, jirani, toka kwenye huko, au wazazi(mzazi mmoja wapo). Jiulize kwa nini hao unasema ni wezi na wamejifunza wapi?
 
Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako wanaishi kama wako peponi ! Kiuhalisia ni kwamba wanakumudu ! Ni vyema viongozi wasikalie ofisi kwa muda mrefu ikiwezekana iwe mwaka mmoja mmoja ! Wanaingia wengine ! Serikali yako iruhusu ukaguzi huru na tume ya maadili iwe na meno ya kufuatilia utajiri wa kutupwa wa mawaziri wako !! Kuna waziri wako mmoja anajilipa ml 74 kwa mwezi na Bado amefungua makampuni makubwa yenye usajili unaoanzia na neno z!! Huko ndio kichaka Cha kutakatishia fedha ! Kwa nini wateule wako wanatumia mali za umma kama mali zao binafsi? Mimi nashauri hili Baraza lote lipumzike isipokuwa waziri mkuu na naibu waziri mkuu ifanyike rotation na sura mpya ziingie kazini !!
Usha ambiwa kula Kwa urefu wa kamba yako. We unataka nini? Jenga hoja sisi huku walipa Kodi. Tunakula Kwa kamba ipi?

Hivyo viduka tunavyo ishi navyo mtaani TRA hao. Ukienda kuhemea Kodi hiyo. Hospital hakuna huduma etc. Tuna tumikia kununua Ester coach bus.
 
Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako wanaishi kama wako peponi ! Kiuhalisia ni kwamba wanakumudu ! Ni vyema viongozi wasikalie ofisi kwa muda mrefu ikiwezekana iwe mwaka mmoja mmoja ! Wanaingia wengine ! Serikali yako iruhusu ukaguzi huru na tume ya maadili iwe na meno ya kufuatilia utajiri wa kutupwa wa mawaziri wako !! Kuna waziri wako mmoja anajilipa ml 74 kwa mwezi na Bado amefungua makampuni makubwa yenye usajili unaoanzia na neno z!! Huko ndio kichaka Cha kutakatishia fedha ! Kwa nini wateule wako wanatumia mali za umma kama mali zao binafsi? Mimi nashauri hili Baraza lote lipumzike isipokuwa waziri mkuu na naibu waziri mkuu ifanyike rotation na sura mpya ziingie kazini !!
Naunga mkono hoja
 
Nyimbo za kusifu na kutukuza wanazo imba, sio kwa ajili yake.
wanaimba kwa sbb ya udhaifu,utawala dhaifu huinua matajiri wengi.
Kwa sasa watumishi ni matajiri kuliko mwajiri wao!
Kwamba hata kukopa bado haisaidii.
Athari zake zitakuja kuonekana miaka 10-15 ijayo.
 
Back
Top Bottom