Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

Mmhh hukumsikia alivyosema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Sio kwa kadri ya anavyopaswa ale
 
Inasemekana hata yeye anaukwasi wa kutisha mkuu....🤔
 
Nyimbo za kusifu na kutukuza wanazo imba, sio kwa ajili yake.
wanaimba kwa sbb ya udhaifu,utawala dhaifu huinua matajiri wengi.
Kwa sasa watumishi ni matajiri kuliko mwajiri wao!
Kwamba hata kukopa bado haisaidii.
Athari zake zitakuja kuonekana miaka 10-15 ijayo.
Yaa ni kweli kabisa ndugu
 
Pesa wanazomiliki mawaziri ni mara 100 ya rais
 
Changamoto ni kwamba akisema apambane na Ufisadi atajikuta anafukua Makaburi.
Just imagine kama makaburi hayo yana Majoka atafanyaje?
Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Wacha waibe kwa raha zao.
Na huku mtaani wawe na michepuko yenye mijengo mikali na na VXR za kutosha.
 
Back
Top Bottom