Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

Sasa anajitahidi nini kama yupo ofisini na upigaji ni mwingi hata wewe unakiri bayana. Watu wanakula urefu wa kamba kuliko mda wowote katika historia ya nchi yetu. Anajitahidi nini sasa ?! Au anajitahidi kupaka wanja na kurembua ?
 
Wapuuzi hao wanaropoka tuu hawana ushahidi.
 
Huna akili, its just simple...
 
Sasa anajitahidi nini kama yupo ofisini na upigaji ni mwingi hata wewe unakiri bayana. Watu wanakula urefu wa kamba kuliko mda wowote katika historia ya nchi yetu. Anajitahidi nini sasa ?! Au anajitahidi kupaka wanja na kurembua ?
Yeye kama rais anatimiza wajibu wake watendaji wake ndio wanaomwangusha
 
Ukiona watoto toka familia fulani ni wezi, yawezekana wamejifunza kwa marafiki, jirani, toka kwenye huko, au wazazi(mzazi mmoja wapo). Jiulize kwa nini hao unasema ni wezi na wamejifunza wapi?
 
Usha ambiwa kula Kwa urefu wa kamba yako. We unataka nini? Jenga hoja sisi huku walipa Kodi. Tunakula Kwa kamba ipi?

Hivyo viduka tunavyo ishi navyo mtaani TRA hao. Ukienda kuhemea Kodi hiyo. Hospital hakuna huduma etc. Tuna tumikia kununua Ester coach bus.
 
Naunga mkono hoja
 
Nyimbo za kusifu na kutukuza wanazo imba, sio kwa ajili yake.
wanaimba kwa sbb ya udhaifu,utawala dhaifu huinua matajiri wengi.
Kwa sasa watumishi ni matajiri kuliko mwajiri wao!
Kwamba hata kukopa bado haisaidii.
Athari zake zitakuja kuonekana miaka 10-15 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…