Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hamna rais hapo...Rais wetu mpendwa mama Samia ikikupendeza tunakuomba Sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu MH. Lukuvi...
Wenye Akili tunajua Waziri hapo ni Ridhiwani Kikwete na huyo Mabula ni Ceremonial Minister TU hapo.Rais wetu mpendwa mama Samia ikikupendeza tunakuomba Sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu MH. Lukuvi...
Kama Mmoja wa Waziri wa hiyo Wizara ( Docket ) ni Tapeli na Dhulumati aliyekomaa na Kushindikana tokea 2005 hadi 2015 unategemea nini labda Mkuu? Tayari Fisi kakabidhiwa Funguo ya Bucha hapo hivyo Vumilieni tu sawa?Ardhi kumejaa UTAPELI uliokomaa.
Mwanasiasa gani anafanya vitu kwa ajili ya wengine? Hata hao chadema na upinzani hivyo hivyoUnamjua vizuri Lukuvi lakini ila kwa kukusaidia CCM wote lao mmoja wapo kwa Ajiri Matumbo yao familia zao Rafiki zao ndio maana mara zote nasema Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi...
Unamjua vizuri Lukuvi lakini ila kwa kukusaidia CCM wote lao mmoja wapo kwa Ajiri Matumbo yao familia zao Rafiki zao ndio maana mara zote nasema Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi...
Unyonge wa Lukuvi haswa ni upi ?
Tuseme hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo zaidi ya Lukuvu pekee ake ?
Tunatumiaga tu neno unyonge lakini si kweli ni wa nyonge, LUKUVI ALIPAMUDU, ALIPAWEZIE ULIKUWA UKIFIKA UNASIKILIZWA NA JAMBO LAKO LINAFANYIWA KAZI HARAKA SANA ENDAPO KAMA TARATIBU ZIMEKAMILIKA LEO HII KAMILISHA TARATIBU ZOTE, BADO LITACHELEWESHWA, ALIMRADI UWASOGELEE UWABEMBELEZE, INFACTS KUCHELEWESHA JAMBO KWA KIPINDI KIREFU NI NJIA YA KUTENGENEZA RUSHWA THATS FACTS,MAANA UNACHWISHWA KWANZA AKILI.,ULEGEE.Unyonge wa Lukuvi haswa ni upi ?
Tuseme hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo zaidi ya Lukuvu pekee ake ?
KUNA WIZARA ISIYO NA RUSHWA KWA SASA?Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo wizarani Dodoma na Dar Es Salaam, maalum ambalo wananchi wataweza kutoa vinagaubaga vyao kwa dawati hilo ambalo litakuwa linamfikishia waziri aliyepo kipi kinafanyika hapo hivyo naye kusaidia kutoa maamuzi ya haraka.
WASALAAM.
Ardhi pamezidi mkuu, "Wezi wa viwanja vya watu na matapeli wanapewa uzito wa juu kabisa na docs zao hazichelewi ili kufanikisha utapeli, that's mean kuna chains hapo wanayoitambua ya siri timu buglers, pia kwa utendaji bora nadhani kuwe na utaratibu wa kuhamisha wafanyakazi na watakapokuwa wamehamia wachanganywe na PCCB.KUNA WIZARA ISIYO NA RUSHWA KWA SASA?
Kama kunatatizo mahali unatakiwa ulionyeshe, kwanini arudishwe mzee Likuvi wakati TZ inawatu tele, hakuna aliezaliwa kiongozi. Hii keki ya taifa wacha tugawane sote, sio kila siku walewale tu.Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi,
Ardhi kumekua kwa kingese sana sikuhizi bila hongo hupati huduma na mtu anaongea live hata haogopi hawa watu wa ardhi na Tra nina clip zao nyingi tu siku nitaanza kuziachia livelive maana wanaona rushwa ndo kilakitu na wanalipwa mshahara.