Umekwama wapi ndg yangu? ndiyo kuna changamoto wizara ya ardhi za hapa na pale ila watu wanapata huduma kama kawida mie nikiwa mmoja wapo, mambo ya ardhi lazima uwe na subira na vilelezo vyote ili kupta huduma kwa wakati. WAZIRI NA NAIBU WAKE WANATOSHA!!!!Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo.
Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo wizarani Dodoma na Dar es Salaam, maalum ambalo wananchi wataweza kutoa vinagaubaga vyao kwa dawati hilo ambalo litakuwa linamfikishia waziri aliyepo kipi kinafanyika hapo hivyo naye kusaidia kutoa maamuzi ya haraka.
WASALAAM.