Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

Umekwama wapi ndg yangu? ndiyo kuna changamoto wizara ya ardhi za hapa na pale ila watu wanapata huduma kama kawida mie nikiwa mmoja wapo, mambo ya ardhi lazima uwe na subira na vilelezo vyote ili kupta huduma kwa wakati. WAZIRI NA NAIBU WAKE WANATOSHA!!!!
 
Daa! Inasikitisha sana.
 
Mradi wa bagamoyo ni EPZ, unahusiana vipi na Ardhi, wakati EPZ walishatenga Ardhi yao. Tusiwape watu lawama
 
MAY I CONGRATULATE HON. DR A MABULA, KUNA JAMBO JEMA LIMEFANYIKA, IT'S TOO EARLY TO JUDGE, TUNAKUSHUKURU SANA UMEMSAIDIA MAMA #SSH VYEMA UMEMUONGEZEA KURA ZAKE ZA KISHINDO 2025,
lakini ngoja tuwapime hawa wapya tutakuletea mrejesho hapa hapa, kuhusiana na utendaji wao.
Mungu ibariki CCM, mungu ibariki tanzania, mungu wabariki viongozi wetu.
 
Tanzania hatuhitaji mtu,

Tunahitaji mifumo imara ya kiutendaji .

Watu wanakuja na kupita , Mifumo imara itasimama hata kizazi cha saba.
 
Sijajua kwa upande wako mkuu mheshimiwa.ila sisi tulienda pale kwa kweli mh alitupokea vizur na akatusikiliza kutaka tupeleke docs.dada yule kahamishwa pale ofis ya register sijajua why ila nae alikua vizur tu.pale kaunta suma jkt hasa yule ka dadaa mweupe msumbufu sana
 
MAMA ,MAMA DR. SAMIA SULUHU HASSANI ,

Kwa heshima na taadhima Kwa kweli namimi naunga mkono Hoja Kwa miguu yote na mikono yangu yotee.

Naomba utapatie William Lukuvi Kwenye Wizara ya Ardhi huyo Ndiye mbadala WA Enzi ya Magufuri Kwenye Wizara ile.Mama tusaidie Kwa hilo.
 
Reshuffle iliyofanyika naona kama inatosha kabisa, NGOJA TUVUTE SUBRA TUONE UTENDAJI,
Nadhani kwa sasa nitakuwa nawaanika hapa lives kwa majina /
 
huyu jamaa ahatakiwi kabisa na mfumo kwa sasa, ndio maana hata wajumbe wameelekezwa kabisa NEC Kura zisimtoshe. kapigwa vibaya. anyway kuimba kupokezana
 
Tanzania hatuhitaji mtu,

Tunahitaji mifumo imara ya kiutendaji .

Watu wanakuja na kupita , Mifumo imara itasimama hata kizazi cha saba.
Kwahiyo tukae tusubiri hiyo mifumo hadi ije?
 
Unfortunately majambazi yamerudishwa tena, sijui wameroga au wamefanyaje? Wizara ngumu sana hii, Sasa wapigaji wamerudishwaje tena, POLE SANA DR. MABULA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…