Rais William Ruto alalamika namna viongozi kutoka mataifa ya Afrika wanavyotendewa wakiwa Ulaya na USA

Kujimbafy wakati huna kitu,ni ujinga.

Ameona nchi haikopesheki, na ana mpango wa kusimamisha ulipaji madeni ili wafanyakazi walipwe mishahara, halafu anadanganya kuwa ameamua kutokopa!

Ni sawa mtu uwe huna hela ya kula halafu unawaambia watu kuwa umefunga.

Chini ya Ruto, Kenya itashuhudia mdororo mkubwa wa uchumi.
 
Yeye na Magufuli hawakupaswa kuwa watu wa mamlaka, walitakiwa tawaliwa tu
 
Hahahaha! Kwahiyo taifa la Kenya linafunga (linaacha kukopa) baada ya kuona halina chakula (halikopesheki)??
 
Si wanadai anafanana kimsimamo na kaka mkubwa??
Go ruto goooooo!!!
Na mimi nakazia go Ruto gooooo !
Kaka mkubwa alikosea kidogo tu kuzichanga karata zake !! Nadhani hata yeye analijua hilo !! 😅🙏
 
Hivi huyu si ni yule aliyelakamika kwamba viongozi wa Afrika hawathaminiwi wakienda huko kwa wazungu?
 
Fikra za watu wajinga ndo hizo analalamika kupanda bus Safi zuri lenye AC au wanafikiri labda angepanda Gari ya malkia ndo ageonekana amepewa heshima it all about fucking mind
Wewe ni zuzu marais wa africa asilimia karibu yote tulionao sasa ni wapuuzi tu machoni pa wazungu ....mtu kama nyerere au jpm angepewa heshima kubwa kama angekwenda kwenye hizo nchi
 
We mjinga unataka heshima gani in this world ? Hizo fikra mfu ndo zimefanya Africa kutoendelea miaka kwa miaka .
Wewe ni zuzu marais wa africa asilimia karibu yote tulionao sasa ni wapuuzi tu machoni pa wazungu ....mtu kama nyerere au jpm angepewa heshima kubwa kama angekwenda kwenye hizo nchi
 
The problem with African Leaders can't say NO before the Europeans,they are always YESIST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…