Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
na sasa mbona hamjafanya hivo sai๐Kikwete alishaidhihirishia Dunia na M23 waliingia mitini mzee.
Ndio maana tunasema Mgogoro wa Congo DRC ni pasua kichwa.na sasa mbona hamjafanya hivo sai๐
Uko DRC mlikuwa juzi mbona mkatoroka๐๐๐๐ kwani mlikiona Nini??wat???
Mpaka jirani yenu Mozambique????Rwanda ndio alisafisha๐
Ukraine ni masilaha wanasaidiwa nayo pekee๐Ukraine haikuwa Nchi ya Vita na ndio maana wnapewa,walipeana Silaha zao hatari mpaka nucleur Russia amwekee!kumbe ilikuwa kosa๐๐๐ Unamaanisha Ukraine+NATO(30 Countries)
sisi Kenya ni Capitalist country,hatupendi kupoteza biashara na investments zetu,DRC hatuipotezi kamwe๐Do or DieNdio maana tunasema Mgogoro wa Congo DRC ni pasua kichwa.
Bora utafune tu Miraa yako usife kibudu.
Mzee sikiliza,sisi kilichotufikisha hapa kwenye huu mkwamo, ni Vita vya Uganda, uchumi wetu ulicollapse mpaka leo hii tunajuta kuwafahamu Waganda.sisi Kenya ni Capitalist country,hatupendi kupoteza biashara na investments zetu,DRC hatuipotezi kamwe๐Do or Die
najua pia Ruto ashafikiri hioโMzee sikiliza,sisi kilichotufikisha hapa kwenye huu mkwamo, ni Vita vya Uganda, uchumi wetu ulicollapse mpaka leo tunajuta kuwafahamu Waganda.
Ninyi mna Uchumi mzuri msifanye makosa kama yetu mzee.
Mzee labda kama unahitaji Soko la Maiti, kila siku utakuwa una Import KDF body bags, usicheze na Banyamulenge mzee.NA pia tunahitaji ilo soko zaidi Kama EAC
Acha dharau ww Tanzania tuna jeshi imara na tumeshafanya operesheni nyingi tu tena kwa weredi,, usiishi kwa kufuata mkumbo kisa chuki zako binafsi tu.Hii ndiyo Special Military Operation tunayoiweza sasa ๐
uko kweli Ila piaMzee labda kama unahitaji Soko la Maiti, kila siku utakuwa una Import body bags, usicheze na Banyamulenge mzee.
๐๐ kwamba Nyie Sasa ndio mmegeuka kua Savior wa East Africa ๐๐๐,acheni kujipa umuhimu msiokua nao.hatutaki magaidi wa DRC washinde kwaajili wakishinda next ni TZ,KE,UG,Rwanda or Burundi
Ni kweli mkuu,lkn Sasa tofauti ya majukumu ya Jeshi la E/Africa na MONUSCO iliyo huko miaka zaidi ya 20 Itakua Ni Nini?Kenya imetuma majeshi yake yakaungane na mengine ya East Africa kama ug, burundi na tz pamoja na monusco katika kulinda amani na sio kwenda kupigana vita hilo watu waelewe. EADF ni muunganiko wa wanajeshi wa ug, rwd, brd, kny na Tz hivo watu msiwe mnazusha mambo ambayo hayapo.
Mkuu naona unajadili mambo usiyoyajua.Al shabab ni kikundi cha kigaidi mbinu za kupambana na magaidi ni tofauti na kupambana na waasi wa msituni. Ugumu wa kupambana na magaidi ni kwamba hakuna vita vya moja kwa moja,ni vita ya kuviziana na kujificha na mpaka watu usiwadhania wakiwemo kina mama na watoto ni wapiganaji. Vita vya msituni ni vigumu lakini vinafaa sana kwa majeshi yetu kuliko vita ya kigaidi.al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Hao wahutu wanatumika tu na Rwanda kama sababu za kuivamua Drc, kuhusu Kdf kuchapwa sahau hilo.Kama Wanamgambo wa Kihutu kutoka Rwanda wakiachwa halafu Wakenya wajifanye kushambulia M23 pekee basi huu mgogoro unaenda kuwa mkubwa na KDF watachapwa sana.
Kazi ya Monusco na EADF ni kulinda amani tu na sio vinginevyo. Ndio maana leo hii watu wanashangaa kenya imetuma wanajeshi wake ila hawajui huko zaire kuna wanajeshi zaidi ya 18,000 wa Monusco kutoka nchi mbali mbali ikiwemo marekani china na india. Na hao M23 hawawezi kuisha leo wala milele kwasababu watu wanatajirika kupitia wao. Wengi wanamlaumu kagame kwamba anawapa silaha ila sio kweli bali kuna tuhuma nyingi sana za exchanges za bunduki kwa dhahabu, bunduki kwa ndovu au pembe na bunduki kwa almasi, ambazo zinafanywa na monusco ndani ya Zaire. Tanzania tunawanajeshi wetu zaidi ya 900 huko Zaire kwahyo lazima ujiulize inakuwaje wanajeshi kibao alafu wanashindwa na M23 ukitafakari vizuri utaelewa kuna biashara kubwa sana hapo Zaire.Ni kweli mkuu,lkn Sasa tofauti ya majukumu ya Jeshi la E/Africa na MONUSCO iliyo huko miaka zaidi ya 20 Itakua Ni Nini?
BTW Jeshi la Rwanda lenyewe ilikataliwa Kuingia Congo na Serikali ya Congo,so wao wamesema wataweka majeshi yake kwny mpaka wake.