Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Kikwete alishaidhihirishia Dunia na M23 waliingia mitini mzee.
na sasa mbona hamjafanya hivo sai😂
Uko DRC mlikuwa juzi mbona mkatoroka😂😂😂😂 kwani mlikiona Nini??wat???
Mpaka jirani yenu Mozambique????Rwanda ndio alisafisha👌
 
Wanaenda kulinda njia za kupitishia madini na kulinda viongozi wa Congo, hii ni biashara na haina uhusiano na ukombozi wa Congo au kuwaondoa M23, issue ya Congo itamalizwa na wacongo la sivyo watapigana mpaka madini yaishe ndio wapate amani
 
KDF wasifikiri kama kuna Tusker na Marungi huko Mwituni Jeshi la Kongo likizidiwa linaingia Mitini wanabaki wananang'aa macho😳🤯
 
na sasa mbona hamjafanya hivo sai😂
Uko DRC mlikuwa juzi mbona mkatoroka😂😂😂😂 kwani mlikiona Nini??wat???
Mpaka jirani yenu Mozambique????Rwanda ndio alisafisha👌
Ndio maana tunasema Mgogoro wa Congo DRC ni pasua kichwa.

Bora utafune tu Miraa yako usife kibudu.
 
😄😄 Unamaanisha Ukraine+NATO(30 Countries)
Ukraine ni masilaha wanasaidiwa nayo pekee👌Ukraine haikuwa Nchi ya Vita na ndio maana wnapewa,walipeana Silaha zao hatari mpaka nucleur Russia amwekee!kumbe ilikuwa kosa🙈
Pia Russia Hana aibu kukomboa majihadi na beralus💩kweli wametingizwa tako!!
 
Ndio maana tunasema Mgogoro wa Congo DRC ni pasua kichwa.

Bora utafune tu Miraa yako usife kibudu.
sisi Kenya ni Capitalist country,hatupendi kupoteza biashara na investments zetu,DRC hatuipotezi kamwe👌Do or Die
 
sisi Kenya ni Capitalist country,hatupendi kupoteza biashara na investments zetu,DRC hatuipotezi kamwe👌Do or Die
Mzee sikiliza,sisi kilichotufikisha hapa kwenye huu mkwamo, ni Vita vya Uganda, uchumi wetu ulicollapse mpaka leo hii tunajuta kuwafahamu Waganda.

Ninyi mna Uchumi mzuri msifanye makosa kama yetu mzee.

Pigana na njaa, ukame umatalamaki na Mahindi nakuletea mimi, achana na Wakongo.
 
Mzee sikiliza,sisi kilichotufikisha hapa kwenye huu mkwamo, ni Vita vya Uganda, uchumi wetu ulicollapse mpaka leo tunajuta kuwafahamu Waganda.

Ninyi mna Uchumi mzuri msifanye makosa kama yetu mzee.
najua pia Ruto ashafikiri hio✓
Rwanda aliingia kichwa Mozambique bila kuogopa eti watarevenge kwasababu??they share no border👌
Pia Kenya iyo kazi tunaweza isafisha vizuri kwasababu itakuwa ngumu Sana hao magaidi wa DRC kujaribu kurevenge kwetu👌
NA pia tunahitaji ilo soko zaidi Kama EAC
Alafu usipoziba ufa utajenga Ukuta,hatutaki magaidi wa DRC washinde kwaajili wakishinda next ni TZ,KE,UG,Rwanda or Burundi
 
Kenya imetuma majeshi yake yakaungane na mengine ya East Africa kama ug, burundi na tz pamoja na monusco katika kulinda amani na sio kwenda kupigana vita hilo watu waelewe. EADF ni muunganiko wa wanajeshi wa ug, rwd, brd, kny na Tz hivo watu msiwe mnazusha mambo ambayo hayapo.
 
Kenya iwapeleke wale wakimbiaji wake wa mbio ndefu wakawafunze KDF namna ya kukimbia na kurudi nyumbani wakati Banyamulenge watakapokinukisha.😆
 
hatutaki magaidi wa DRC washinde kwaajili wakishinda next ni TZ,KE,UG,Rwanda or Burundi
😄😄 kwamba Nyie Sasa ndio mmegeuka kua Savior wa East Africa 😄😄😄,acheni kujipa umuhimu msiokua nao.
 
Kenya imetuma majeshi yake yakaungane na mengine ya East Africa kama ug, burundi na tz pamoja na monusco katika kulinda amani na sio kwenda kupigana vita hilo watu waelewe. EADF ni muunganiko wa wanajeshi wa ug, rwd, brd, kny na Tz hivo watu msiwe mnazusha mambo ambayo hayapo.
Ni kweli mkuu,lkn Sasa tofauti ya majukumu ya Jeshi la E/Africa na MONUSCO iliyo huko miaka zaidi ya 20 Itakua Ni Nini?

BTW Jeshi la Rwanda lenyewe ilikataliwa Kuingia Congo na Serikali ya Congo,so wao wamesema wataweka majeshi yake kwny mpaka wake.
 
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Mkuu naona unajadili mambo usiyoyajua.Al shabab ni kikundi cha kigaidi mbinu za kupambana na magaidi ni tofauti na kupambana na waasi wa msituni. Ugumu wa kupambana na magaidi ni kwamba hakuna vita vya moja kwa moja,ni vita ya kuviziana na kujificha na mpaka watu usiwadhania wakiwemo kina mama na watoto ni wapiganaji. Vita vya msituni ni vigumu lakini vinafaa sana kwa majeshi yetu kuliko vita ya kigaidi.
 
Kama Wanamgambo wa Kihutu kutoka Rwanda wakiachwa halafu Wakenya wajifanye kushambulia M23 pekee basi huu mgogoro unaenda kuwa mkubwa na KDF watachapwa sana.
Hao wahutu wanatumika tu na Rwanda kama sababu za kuivamua Drc, kuhusu Kdf kuchapwa sahau hilo.
 
Ni kweli mkuu,lkn Sasa tofauti ya majukumu ya Jeshi la E/Africa na MONUSCO iliyo huko miaka zaidi ya 20 Itakua Ni Nini?

BTW Jeshi la Rwanda lenyewe ilikataliwa Kuingia Congo na Serikali ya Congo,so wao wamesema wataweka majeshi yake kwny mpaka wake.
Kazi ya Monusco na EADF ni kulinda amani tu na sio vinginevyo. Ndio maana leo hii watu wanashangaa kenya imetuma wanajeshi wake ila hawajui huko zaire kuna wanajeshi zaidi ya 18,000 wa Monusco kutoka nchi mbali mbali ikiwemo marekani china na india. Na hao M23 hawawezi kuisha leo wala milele kwasababu watu wanatajirika kupitia wao. Wengi wanamlaumu kagame kwamba anawapa silaha ila sio kweli bali kuna tuhuma nyingi sana za exchanges za bunduki kwa dhahabu, bunduki kwa ndovu au pembe na bunduki kwa almasi, ambazo zinafanywa na monusco ndani ya Zaire. Tanzania tunawanajeshi wetu zaidi ya 900 huko Zaire kwahyo lazima ujiulize inakuwaje wanajeshi kibao alafu wanashindwa na M23 ukitafakari vizuri utaelewa kuna biashara kubwa sana hapo Zaire.
 
Back
Top Bottom