ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.
Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:
"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."
Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.
Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.
Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.
Je.maoni yako ni yapi katika hili