Rais William Ruto: Hata Mkininyima Kura Malaika Wataniongezea, lazima nitashinda Urais

Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.

Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
View attachment 3643899

Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:

"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."

Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.

Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.

Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.

Je.maoni yako ni yapi katika hili

Kwani Serikali ya CCM ni lini iliifuata hii katiba waliyoiandika wenyewe? Ati ni lini walizifuata sheria Za uchaguzi walizozitunga wenyewe?
 
Haina faida zaidi ya kuwanufaisha Wanasiasa.Weqw unadhani Katiba Mpya itamsaidia mwanakijiji kupata ugali au kuondoa umaskini?
Katiba ya sasa/ya zamani inamsaidiaje mwanakijiji kupata ugali na kuondoa umasikini?

Katiba ya sasa/ya zamani haiwanufaishi wanasiasa?
 
Haki Yako itaheshimiwa Ukiwa na pesa sio kuhangaika na Hilo karatasi la kusaidia mwanasiasa kukutawala
Katiba ya sasa ndio inayofanya watu haki zao ziheshimiwe kwa sababu wana pesa, tunataka Katiba nyingine ambayo hata isipokuwa na pesa haki zako zitaheshimiwa tu.
 
Haina shida nyie ruhusuni katiba mpya kabla wananchi hawajaidai. Tunaitaka hivyo hivyo
Mwenye shida nayo ndio aidai,Mimi Sina huo ujinga by the way mnaitaka ni Wanasiasa ila mwananchi wa kawaida kama Mimi hatuna shida nayo.
 
Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.

Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
View attachment 3643899

Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:

"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."

Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.

Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.

Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.

Je.maoni yako ni yapi katika hili
Ndio, akiiba kura wataenda mahakamani na uchaguzi utafutwa kama ilivyokua 2017. Na ndio uzuri wa katiba yao mpya, kuna checks and balances.

Sasa tatizo hapa wakiiba kura za Urais na ushahidi ukawepo huwezi hata shitaki popote.

Imagine uchaguzi mdogo wa hivi majuzi, chama tawala UDA kilipata 13%, hivi Tanzania umewahi ona CCM ikiangushwa kwenye uchaguzi wa ubunge kwa gap hiyo?
 
Mwenye shida nayo ndio aidai,Mimi Sina huo ujinga by the way mnaitaka ni Wanasiasa ila mwananchi wa kawaida kama Mimi hatuna shida nayo.
Kwenye ilani ya CCM ipo na mliahidi tokea 2015 sasa kinachowashinda kuiandaa ni nini? Ina maana unapingana na ilani yenu wenyewe?
 
Inahitaji kuwa ignorant au labda mgeni kwenye sayari hii ya Dunia kuamini kuwa KATIBA itabadilisha chochote haswa kwa nchi za Afrika, tena za hii ngozi iliyolaaniwa..
Katiba itahitaji vyombo ambavyo vinaendeshwa na binadamu hawa hawa wenye ngozi nyeusi... Wanasiasa wanataka KATIBA mpya wakiwaza MADARAKA wakati wananchi wanawaza MAENDELEO ambayo hata kwa sasa yangeweza kufanyika kama tungekuwa na watu sahihi..
Hiyo Kenya ukiondoa KELELE na MATUSI waliyoachwa ili wapunguze stress za maisha magumu waliyopewa na wanasiasa,, hawana lolote jipya kwenye utendaji wa serikali kwamba wizi ni kama kawaida tena imekuwa maradafu maana hao MAGAVANA wanapiga na SERIKALI KUU HUKO NAKO WANAPIGA...
 
Back
Top Bottom