ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #21
Kwani hoja hapo ni asilimia au wizi wa kura? Kaulize Jaji Mkuu wa Kenya alichofanya na Ruto Hadi akaufyata.Kenya sio kama tz wewe uko huwez pata 90% na mahaka ikakuangalia
Katiba mpya ndo ilimsaidia Ruto kuwa Rais.
Ruto hakuwa chaguo la Rais aliyekuwepo madarakani wakati anawania urais.
Chaguo la Uhuru Kenyatta alikuwa Raila Odinga.
Lakini kwa vile Kenya ina tume huru ya uchaguzi, ilitenda haki kwa kumtangaza Ruto kuwa mshindi na kupuuza mashinikizo ya serikali ya Kenyatta.
Tume ya uchaguzi ya Kenya ni zao la katiba yao ya 2010.
Tulikubaliana Katiba Mpya ndio inawapa mnachotaka,vipi mumekipata?Ruto hakuwa Chaguo la Uhuru, Ila Alikuwa ndio chaguo la Mfumo.
Kenye bado haijapata Raisi mwanamabadiloko wa kweli, wote ndio wale wale tu.
Mbumbumbu toka lini akaelewa faida ya katiba bora?Hakuna Cha kubadilika ,hoja ni Ile Ike Katiba Mpya ni 🚮🚮 Haina faida Kwa mwananchi zaidi ya mwanasiasa
Hayo ya mfumo ni nadharia zako tu.Ruto hakuwa Chaguo la Uhuru, Ila Alikuwa ndio chaguo la Mfumo.
Kenye bado haijapata Raisi mwanamabadiloko wa kweli, wote ndio wale wale tu.
Haina faida zaidi ya kuwanufaisha Wanasiasa.Weqw unadhani Katiba Mpya itamsaidia mwanakijiji kupata ugali au kuondoa umaskini?Mbumbumbu toka lini akaelewa faida ya katiba bora?
🤣🤣🤣
Mlikubaliana na nani?Tulikubaliana Katiba Mpya ndio inawapa mnachotaka,vipi mumekipata?
Ndiyo.Haina faida zaidi ya kuwanufaisha Wanasiasa.Weqw unadhani Katiba Mpya itamsaidia mwanakijiji kupata ugali au kuondoa umaskini?
🚮🚮Ndiyo.
Tunachotaka ni haki zetu kuheshimiwa; rule of the law, sio kuishi by the rule of the jungle!Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.
Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
View attachment 3643899
Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:
"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."
Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.
Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.
Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.
Je.maoni yako ni yapi katika hili
Haki Yako itaheshimiwa Ukiwa na pesa sio kuhangaika na Hilo karatasi la kusaidia mwanasiasa kukutawalaTunachotaka ni haki zetu kuheshimiwa; rule of the law, sio kuishi by the rule of the jungle!
Kweli ng’ombe ni ng’ombe tu!Haki Yako itaheshimiwa Ukiwa na pesa sio kuhangaika na Hilo karatasi la kusaidia mwanasiasa kukutawala
Danganyeni mbumbumbu kwamba Shida zao zimeletwa na ukosefu wa Katiba MpyaKweli ng’ombe ni ng’ombe tu!
Harufu ya goli la mkono,Malaika wanapiga kura?
Hiyo kauli haina tofauti sana na kauli ya Samia.