Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.
Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
View attachment 3643899
Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:
"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."
Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.
Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.
Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.
Je.maoni yako ni yapi katika hili
Katiba ya zamani ilikuwa ina faida gani kwa wananchi Wakenya?Hakuna Cha kubadilika ,hoja ni Ile Ike Katiba Mpya ni 🚮🚮 Haina faida Kwa mwananchi zaidi ya mwanasiasa
Katiba ya sasa/ya zamani inamsaidiaje mwanakijiji kupata ugali na kuondoa umasikini?Haina faida zaidi ya kuwanufaisha Wanasiasa.Weqw unadhani Katiba Mpya itamsaidia mwanakijiji kupata ugali au kuondoa umaskini?
Katiba ya sasa ndio inayofanya watu haki zao ziheshimiwe kwa sababu wana pesa, tunataka Katiba nyingine ambayo hata isipokuwa na pesa haki zako zitaheshimiwa tu.Haki Yako itaheshimiwa Ukiwa na pesa sio kuhangaika na Hilo karatasi la kusaidia mwanasiasa kukutawala
Haina shida nyie ruhusuni katiba mpya kabla wananchi hawajaidai. Tunaitaka hivyo hivyoElewa hoja yangu,Katiba Mpya haijawahi msaidiq mwananchi yeyote zaidi ya mwanasiasa ndio maana nawashangaa wapumbavu wanaotumika Kwa maslahi ya Wanasiasa
Mwenye shida nayo ndio aidai,Mimi Sina huo ujinga by the way mnaitaka ni Wanasiasa ila mwananchi wa kawaida kama Mimi hatuna shida nayo.Haina shida nyie ruhusuni katiba mpya kabla wananchi hawajaidai. Tunaitaka hivyo hivyo
Ndio, akiiba kura wataenda mahakamani na uchaguzi utafutwa kama ilivyokua 2017. Na ndio uzuri wa katiba yao mpya, kuna checks and balances.Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha.
Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya Wanasiasa kupata vyeo lakini haiwezi na hakitakuja Kumpa mtu yeyote pesa Wala kazi isipokuwa vyeo Kwa Wanasiasa na Watoto wao.
View attachment 3643899
Kauli iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, imeibua mjadala mpana katika duru za kisiasa na mitandao ya kijamii baada ya kunukuliwa akisema:
"Hata kama mtanipa kura chache, malaika wataniongezea zingine. Lazima nitashinda."
Kauli hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa, huku wengi wakijadili maana halisi ya maneno hayo katika kipindi ambacho Kenya inaendelea kushuhudia maandalizi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Wafuasi wa Rais Ruto wameeleza kuwa kauli hiyo haikupaswa kuchukuliwa kwa maana ya moja kwa moja, bali ilikuwa ni njia ya kuonesha imani yake kwa Mungu na kujiamini kuwa atapata ushindi licha ya changamoto za kisiasa zinazomkabili. Kwao, rejea ya "malaika" ilikuwa ishara ya msaada wa Mungu na si kauli kuhusu mchakato halisi wa upigaji kura.
Hata hivyo, wakosoaji wake wamehoji matumizi ya kauli hiyo, wakisema inaweza kutafsiriwa kwa namna mbalimbali kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini Kenya.
Katika siasa za Kenya, kauli za viongozi wakuu mara nyingi huwa sehemu ya kampeni na huibua mijadala mikubwa, hasa zinapohusisha masuala ya uchaguzi, dini na uongozi.
Je.maoni yako ni yapi katika hili
Kwenye ilani ya CCM ipo na mliahidi tokea 2015 sasa kinachowashinda kuiandaa ni nini? Ina maana unapingana na ilani yenu wenyewe?Mwenye shida nayo ndio aidai,Mimi Sina huo ujinga by the way mnaitaka ni Wanasiasa ila mwananchi wa kawaida kama Mimi hatuna shida nayo.