Mambo imechemka East Africa baada ya William Ruto kulinganisha Kenya na majirani wake kuhusu barabara na bei ya mafuta. Akiongea church service April 19, Ruto alisema Kenya iko na about 20,000km za tarmac roads akidai ni zaidi ya nchi zingine zote za East Africa combined.
Lakini serikali ya Samia Suluhu Hassan haikunyamaza. Within 24 hours, wakamjibu wakisema hizo ni “false and misleading claims.” According to Tanzania, wao peke yao wako na around 16,000km za tarmac roads meaning ukijumlisha na nchi zingine, total inapita 22,000km.
Hii imeleta debate kali online wengine wakisema Ruto alikuwa anajustify high fuel prices Kenya, wengine wakisema comparison yake haikuwa accurate. Swali kubwa sasa: Je, hii ni facts vs facts ama ni politics tu ya kujipanga kwa macho ya wananchi?
East Africa sasa iko kwa mini “data war” kuhusu maendeleo lakini wananchi bado wanajiuliza: fuel prices zitashuka lini?
Source: Afrinewske.com