Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Mkuu,
Ndo maana namshangaa sana huyu mtoa mada Mmawia
Huwa anajinasibu kama mtetezi wa haki kumbe ni team nduli🥱
Sijui walitaka yule muuaji, nduli Putin akabidhiwe nchi ya watu kikondoo?!!!

Zelensky asilaumiwe, anatenda sawa na mapenzi ya wananchi wake, vinginevyo angeshafurushwa kama mtangulizi wake.
 
Hizo nchi ni makoloni ya Marekani hawana uhuru Tena wakujiamulia mambo Yao, na chumi ZAO zimeshkamanishwa na uchumi wa Marekani. Hufuata amri za Marekani
 
Unaandika kuufurahisha moyo wako, URUSI ni Taifa huru na ni Taifa kubwa Lina haki ya kujlinda zidi ya maadui wanataka kuwatumia majirani zake kuiangamiza.Marekani amefanya uharifu mwingi Sana,Leo waarabu wangapi wamekufa.Hebu angalia palestina wanvyoteseka mbona huuandiki Tena Kuna wakristo wenzetu wapalestina lakini wanateswa Marekani anawasaidia nini
 
Mbona pale Syria walishindwa?
Mbona pale Venezuela walishindwa?
Mbona pale Afghanistan walishindwa?
Mbona maeneo mengi tu nato wanatimuliwa kama watoto wa mitaani?
 
Mbona pale Syria walishindwa?
Mbona pale Venezuela walishindwa?
Mbona pale Afghanistan walishindwa?
Mbona maeneo mengi tu nato wanatimuliwa kama watoto wa mitaani?
Hawa wachangiaji wana mahaba makubwa na Nato na pia wana chuki kubwa kwa Russia
 
Hao hawaoni maovu ya wamarekani
 
Nduli alisha badilika kuwa mchanga kule burigi
 
Kumbuka Ukraine kavamiwa na Urusi anapambana kutetea uhuru wake na Urusi ananguvu kwa hiyo ulitaka asalimishe ardhi yake kwa Urusi
Ukreni ndio mchokozi, amemkaribisha adui wa urusi uwanjani kwake na adui wa urusi akaanza kusogeza mawe ya kumpopoa Mrusi. Mrusi akamwambia jirani yake hicho unachofanya sio sahihi .na akamkumbusha kuhusu kibanda alichopewa na Babu yake na urusi yaani cremea,ukreni akaendelea kushupza shingo.Urusi akamuuliza mbona na ndugu zangu unawanyanyasa ukreni akaendelea kupewa kiburi na adui wa urusi. URUSI akaona isiwe shida ngoja ni yatoe hayo mawe kumbe Alisha Chelewa ukreni alshapewa mpaka mapanga na marungu ndio maana mpaka Leo ugomvi umekuwa mkubwa. UKWELI NI KWAMBA HUU UGOMVI UNACHOCHEWA NA USA, LENGO LA USA NI KUIZOOFISHA URUSI. NA ALIAMINI KUWA MRUSI HAWEZI SIMA A MUDA WOTE IMEKUSA KINYUME UCHUMI WA URUSI HAUPIMWI GDP YA KIMAGHARIBI MAANA HATA SPAIN NA ITALY WANA GDP KUBWA, SAWALI WANGE WEZA KUSIMAMA ZIDI YA MATAFA 30+
 
Nimeukubali mchango wako upo bora
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba mataifa yote yaliyosaidiwa na Marekani mwishowe Huwa makoloni yake.( Neo-colonialism) utakuwa soko lake, utafuata utamaduni wake Mfano mapenzi ya jinsia moja, utazalisha lakini wawekezaji ni USA raia wako watakuwa Patna tu,utalipia technology ya USA na brand zao Maisha yako yote.Mwisho sera ya nje nani awe rafiki inaamulwa Washington.
 
Kavamiwa baada ya kuegesha makombora mengi ya Kavita aliyotumiwa na NATO mpakani mwa Urusi.
Upo ushahidi wa hili hizo silaha mbona Urusi hajawahi kudhibitishia dunia wewe umezitolea wapi hizi taarifa acha uwongo na kuropoka ropoka
 
south korea, japan na ujerumani ni makoloni ya US.....
 
Umemaliza kazi mkuu
 
Mambo ya kuhusu North Korea ni propaganda maana hamna anayejua kwa uhakika ambacho huwa kinaendelea North Korea.
Halafu unaposema Urusi ilisaidia na Nchi za Magharibi,sema walisaidia vitu gani.

Gharama za vita zinazowapata Japan na South Korea ni uwepo wa Kambi za Jeshi LA USA Nchini kwao.Hakuna Nchi inapenda kuwa na Kambi ya kijeshi ya Nchi nyingine katika Nchi yao basi inawalazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…