Huyu "Rais wenu" ni mwepesi kudanganywa kirahisi hivyo; na bado mnaye imani kwamba huko anakokwenda kuwauza hatawalangua kwa bei cheee?Nadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.
Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Labda anaona aibu kurudi kwa kuteua marehemu manake ni jambo la kushangaza sana mtu kafariki more than 2 days kuteuliwa nafasi nyeti any way tusitegemee makubwa sana kwa mtu aliyekuwa na ndoto ya kuwa mhudumu wa ndege labda ndio anatimiza ndoto yake kwa namna nyingine kwa kupenda kukaa ndani ya ndege.Mbaya zaidi anateua akiwa nje ya nchi utadhani uteuzi nao ni dharura, hapa tulipigwa sn
We bwege mlaumu mamako kuwa mjinga uache husda za kijinga. Rais aliunganisha safari 2, ya kwanza ya kiserikali, ya pili ya viongozi wakuu wa nchi za kiafrika. Umeuliza Ruto alikaa siku ngapi. Nyie wehu hata mpotoshe vp Samia ni Rais bora sana kutokea.Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Mamako ndiyo alidanganywaHuyu "Rais wenu" ni mwepesi kudanganywa kirahisi hivyo; na bado mnaye imani kwamba huko anakokwenda kuwauza hatawalangua kwa bei cheee?
Wiki parefu sana, mtoa mada yuko sahihi kabisa. Siku 2 au 3 zinatosha sana.Kiongozi wa nchi anatakiwa akae muda gani kwenye ziara nchi nyingine?..mnalalamikia kila kitu yaani,utadhani unajua kaenda kufanya nini!!
Tatizo hayupo seriousLabda anaona aibu kurudi kwa kuteua marehemu manake ni jambo la kushangaza sana mtu kafariki more than 2 days kuteuliwa nafasi nyeti any way tusitegemee makubwa sana kwa mtu aliyekuwa na ndoto ya kuwa mhudumu wa ndege labda ndio anatimiza ndoto yake kwa namna nyingine kwa kupenda kukaa ndani ya ndege.
Nameanza kuwaelewa wale waliokuwa na mtazamo wa kutokufata katiba baada ya Magu kufariki.
Kwa huyu mazeri tumepigwa na kitu kizito
Tunachagua taasisi au mtu wakati wa kupiga kura? kama uRais ni taasisi Magu alipo vuta mbona ilibidi mtu aapishwe ndiyo mambo yaendelee na wakati ni taasisi na siyo personal?Tambua uraisi sio personal ni tasisi nzima, hata akiwa nje kila jambo linaendelea vizuri tu.
Aibu kubwa sn kuongozwa na mtu wa namna hiiAcha lugha chafu, kuna shida kubwa kwa mkuu wa kaya, hilo liko wazi kabisa
Wakorea wenyewe hawajampa Rais wao maanake utendaji kazi wa Rais wa Korea upo chini kuliko wa Rais wetuHonorable causa mitano tena.Uko South Korea tumepewa phD ya heshima.
Tanzania Nchi ya Amani kwa Nchi zenye Machafuko na Uasi ni HATARI SANAUkitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Hatari sanaKwani hajarudi toka Korea?
Umesahau alipohamia UAE kwenda kuuza bandari za Tanganyika?
Huyu sasa inajulikana ni kawaida yake, safari zake hizi za kwenda kujificha huko nje hazina neema kwa nchi yetu.
Hakuna amani bali kuna Raia wajinga tupu na MazezetaTanzania Nchi ya Amani kwa Nchi zenye Machafuko na Uasi ni HATARI SANA
Wanasema mama yao anafungua nchi ndugu yanguUkitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.
Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.
Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.
Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.
Wiki nzima utachokwa huko
Kwa mujibu wa nani/nini?Wiki parefu sana, mtoa mada yuko sahihi kabisa. Siku 2 au 3 zinatosha sana.
Hatari sanaKigwete alikuwa anakaa mwezi mzima huko marekani.naona anafata nyayo za rais jigwede aka remote controller of current president who is among the worse in performance.since 2021 to 2024 work doe is equal to zero under mama.