Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

Nadhani kuna watu wanamdangaya Rais wetu kuwa kusafiri sana nje ya nchi ndio ataonekana anafanya kazi sana.

Wanamdanganya kwa manufaa yao.
Huyu "Rais wenu" ni mwepesi kudanganywa kirahisi hivyo; na bado mnaye imani kwamba huko anakokwenda kuwauza hatawalangua kwa bei cheee?
 
Mbaya zaidi anateua akiwa nje ya nchi utadhani uteuzi nao ni dharura, hapa tulipigwa sn
Labda anaona aibu kurudi kwa kuteua marehemu manake ni jambo la kushangaza sana mtu kafariki more than 2 days kuteuliwa nafasi nyeti any way tusitegemee makubwa sana kwa mtu aliyekuwa na ndoto ya kuwa mhudumu wa ndege labda ndio anatimiza ndoto yake kwa namna nyingine kwa kupenda kukaa ndani ya ndege.
Nameanza kuwaelewa wale waliokuwa na mtazamo wa kutokufata katiba baada ya Magu kufariki.
Kwa huyu mazeri tumepigwa na kitu kizito
 
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
We bwege mlaumu mamako kuwa mjinga uache husda za kijinga. Rais aliunganisha safari 2, ya kwanza ya kiserikali, ya pili ya viongozi wakuu wa nchi za kiafrika. Umeuliza Ruto alikaa siku ngapi. Nyie wehu hata mpotoshe vp Samia ni Rais bora sana kutokea.
 
Kiongozi wa nchi anatakiwa akae muda gani kwenye ziara nchi nyingine?..mnalalamikia kila kitu yaani,utadhani unajua kaenda kufanya nini!!
Wiki parefu sana, mtoa mada yuko sahihi kabisa. Siku 2 au 3 zinatosha sana.
 
Labda anaona aibu kurudi kwa kuteua marehemu manake ni jambo la kushangaza sana mtu kafariki more than 2 days kuteuliwa nafasi nyeti any way tusitegemee makubwa sana kwa mtu aliyekuwa na ndoto ya kuwa mhudumu wa ndege labda ndio anatimiza ndoto yake kwa namna nyingine kwa kupenda kukaa ndani ya ndege.
Nameanza kuwaelewa wale waliokuwa na mtazamo wa kutokufata katiba baada ya Magu kufariki.
Kwa huyu mazeri tumepigwa na kitu kizito
Tatizo hayupo serious
 
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
Tanzania Nchi ya Amani kwa Nchi zenye Machafuko na Uasi ni HATARI SANA
 
Kwani hajarudi toka Korea?

Umesahau alipohamia UAE kwenda kuuza bandari za Tanganyika?

Huyu sasa inajulikana ni kawaida yake, safari zake hizi za kwenda kujificha huko nje hazina neema kwa nchi yetu.
Hatari sana
 
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine.

Kumbuka na uzinduzi wa Royal Tour Raisi alikaaa Marekani ziaidi ya wiki akifanya uzinduzi wa Filam. Hii ya Korea kusini ni ya pili sasa.

Hakuna mkuu wa nchi hata za Africa tu anaye fanya ziara iwe Ulaya au Asia au Marekani na kukaaa wiki nzima, hii ni Tanzania pekeee inawezekana. Ipo siki atakaa mwezi mzima akifanya ziara.

Levo ya Raisi ni kukutana na Raisi mwenzake basi, sasa wiki nzima anakutana na wakina nani huko Korea Kusini? Raisi anapaswa kujifunza kwa maraisi wenzake wanavyo fanya dhiara zao.

Wiki nzima utachokwa huko
Wanasema mama yao anafungua nchi ndugu yangu
 
Kwani bado yupo Korea hadi leo? Kweli taifa lina hasara hili, raisi anatembelea nchi nyingine akilala sana ni two nights. Wa kwetu anaweka kambi kabisa?

Hili taifa na watu wake ni wa hovyo sana!!
 
Kigwete alikuwa anakaa mwezi mzima huko marekani.naona anafata nyayo za rais jigwede aka remote controller of current president who is among the worse in performance.since 2021 to 2024 work doe is equal to zero under mama.
 
Back
Top Bottom