joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wenzio watakuita mamluki,kumbe nakutoa kwenye lile kundi la vijana wa Rage maana unasema ukweliMimi nikiwa mkweli nalaumiwa
Shida ni Quality players.
USAJILI WA SIMBA NI MBOVU MNO
Banda.
Okwa.
Dejan.
Kanute.
Sawadogo.
Ottara.
Onyango.
Wanashindwa kusajili akina..
Azizi, Bambala, semanga sonze, Adebayor, Manzoki.
BOKO NI .......
Na Kibu denga, Kibu magoliRaja wamecheza bila mashabiki mtu kala tano sijui ingekuwaje kama mashabiki wangekuwepo.
Wale jamaa wanaspeed na Kanoute ana kadi mbili, siku hiyo combo inakuwa kati ya Sawadogo na Mzamiru.
Kina kabwili tunawasubiria keshoZuwena fc itaburuza mkia kwenye hili kundi
Shabiki wa yanga wa mchongo🤣🤣🤣Kwa hiyo mkuu ulitaka simba apigwe nyingi zaidi.Daaah hii nchi ngumu sana me ni shabiki wa Yanga ila simba kufungwa magoli mengi ingeniuma kwa kweli.
Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoyaRaja wamecheza bila mashabiki mtu kala tano sijui ingekuwaje kama mashabiki wangekuwepo.
Wale jamaa wanaspeed na Kanoute ana kadi mbili, siku hiyo combo inakuwa kati ya Sawadogo na Mzamiru.
Raja husishindane nao, Vipers walitaka kushindana nao kilicho wakuta kala 5 na hawakuwa na game plan.Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya
Wewe kaendelee kumshabikia bwana ako Diamond Platinumz mpira haukufai.Raja husishindane nao, Vipers walitaka kushindana nao kilicho wakuta kala 5 na hawakuwa na game plan.
Jamaa wanaspeed na hawana masihala kwa nafasi wazipatazo.
Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya
Ata alhaly alikua bingwa wa Africa na anajua kutumia nafas vizuri sana kwao kwa mkapa alikufa x2 kila mtu atakufa kwa mwenzakeWaarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya
Unatia aibu na unaonekana hujui mpira, kwa hiyo wiki hii duniani kote iliyofungwa ni simba tu.Hata rede ni mchezo.Historia inacheza mpira? Kama mmeshindwa kupata ata point moja mbele ya hii horoya mnategemea mtaipata kwa vipers au Raja? Horoya awatochomoka mbele ya vipers kwa mpira wao huu niliouona na kwa aina ya timu mliyonayo vipers amtowafanya chochote kama utaki subilia utaona
Wewe ruksa kuniblock na kuniignore na si kuendelea kureplya comment za wanaume na si kupangiana.[emoji113][emoji113].
Mna historia ya kuchukua kombe la kuingia makundi na kombe la kuingia robo fainaliUnaumwa ugonjwa wa kukurupuka
Huu ni ukurupukaji..angalia historia ya simba kabla hujakurupuka..
"Wewe kaendelee kumshabikia bwana ako Diamond Platinumz mpira haukufai."Sasa kwanini unatukana kwa jambo jepesi hivyo.
Pole mkuu."Wewe kaendelee kumshabikia bwana ako Diamond Platinumz mpira haukufai."
Wewe hayo maneno umeyaona, je ni sawa kumwambia mwanaume mwenzio tena from nowhere,halafu simjui na sijawahi kumuona hata mara moja kumuona kwenye jukwaa la celebrity.
Mimi JF ukiniheshim nitakuheshim ukija kihuni tutamalizana kihuni na ndivyo ninavyo enda nae kihunihuni.
ZUWENA FC tena duuuh...[emoji1]Makolo aka ZUWENA FC Hawataki kukubali........
Yule beleke wa kwenye Ligue ni tofauti kabisa na WA CAF championship