Raja Casablanca itatembeza sana vichapo kwenye hili kundi la wakina Sawadogo kama timu zenyewe ndio hizi

Raja wamecheza bila mashabiki mtu kala tano sijui ingekuwaje kama mashabiki wangekuwepo.

Wale jamaa wanaspeed na Kanoute ana kadi mbili, siku hiyo combo inakuwa kati ya Sawadogo na Mzamiru.
 
Mimi nikiwa mkweli nalaumiwa
Shida ni Quality players.

USAJILI WA SIMBA NI MBOVU MNO

Banda.
Okwa.
Dejan.
Kanute.
Sawadogo.
Ottara.
Onyango.

Wanashindwa kusajili akina..
Azizi, Bambala, semanga sonze, Adebayor, Manzoki.

BOKO NI .......
Wenzio watakuita mamluki,kumbe nakutoa kwenye lile kundi la vijana wa Rage maana unasema ukweli
 
Poleni sana watani rekebisheni mapungufu mjipange next game, na sisi kesho shughuli yetu si ndogo kwa hatua hizi hatuna budi kuombeana dua
 
Raja wamecheza bila mashabiki mtu kala tano sijui ingekuwaje kama mashabiki wangekuwepo.

Wale jamaa wanaspeed na Kanoute ana kadi mbili, siku hiyo combo inakuwa kati ya Sawadogo na Mzamiru.
Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya
 
Raja husishindane nao, Vipers walitaka kushindana nao kilicho wakuta kala 5 na hawakuwa na game plan.

Jamaa wanaspeed na hawana masihala kwa nafasi wazipatazo.
 
Wewe kaendelee kumshabikia bwana ako Diamond Platinumz mpira haukufai.
 
Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya

Raja Wale sio wa kufunguka hovyo hovyo wanakupiga nyingi, mimi mechi ile jana nimetizama first half nikaenda kulala.
 
Waarabu watakuwa wanapita kama maji, angalia leo kocha wao kajaza viungo wakabaji lakini mianya ilikuwepo ya kutosha na wakapelekewa moto sasa mechi na Raja watataka kufunguka ili wapate goli na hapo ndipo watakapoisoma namba, Jamaa wanajua kuzitumia nafasi vizuri, wale sio horoya
Ata alhaly alikua bingwa wa Africa na anajua kutumia nafas vizuri sana kwao kwa mkapa alikufa x2 kila mtu atakufa kwa mwenzake
 
Historia inacheza mpira? Kama mmeshindwa kupata ata point moja mbele ya hii horoya mnategemea mtaipata kwa vipers au Raja? Horoya awatochomoka mbele ya vipers kwa mpira wao huu niliouona na kwa aina ya timu mliyonayo vipers amtowafanya chochote kama utaki subilia utaona
Unatia aibu na unaonekana hujui mpira, kwa hiyo wiki hii duniani kote iliyofungwa ni simba tu.Hata rede ni mchezo.
 
[emoji113][emoji113].
Wewe ruksa kuniblock na kuniignore na si kuendelea kureplya comment za wanaume na si kupangiana.

Nategemea mpaka kesho asubuhi utakuwa umeniblock au kuni-ignore.
 
Walichofanya Horoya ni kutumia kidole tu ili kumuua sisimizi mechi bado zipo nyingi na timu zinasomana michezo
 
Sasa kwanini unatukana kwa jambo jepesi hivyo.
"Wewe kaendelee kumshabikia bwana ako Diamond Platinumz mpira haukufai."

Wewe hayo maneno umeyaona, je ni sawa kumwambia mwanaume mwenzio tena from nowhere,halafu simjui na sijawahi kumuona hata mara moja kumuona kwenye jukwaa la celebrity.

Mimi JF ukiniheshim nitakuheshim ukija kihuni tutamalizana kihuni na ndivyo ninavyo enda nae kihunihuni.
 
Pole mkuu.
 
Back
Top Bottom