Mnafanya vizuri! Yesu ni muweza wa yote! Mmefanya vizuri san kutoa maisha yenu kwa Yesu. Vinginevyo mkifa mngekutana n moto wa milele! Sasa kwa hatua hiyo tegeemeni uzima wa Milele. AmenAmen,yaani 'Yesu' wa huku kwetu kila ukimtaja lazima utaje majina yake yote manne huku ukitanguliza neno jemedari.
Ukifanya hivyo mambo tawireeee.
Mbaya mnoTumefikia hatua mbaya kama taifa
Amen amen,'Yesu' wetu ndio mwamuzi wa kila kitu na hata wazee wastaafu wa baraza la makuhani wanaenda kumuomba msamaha kila uchao na hua anawasamehe huku akiwaambia nitakalowafungia mimi duniani na hata mbinguni kwa baba yangu mtakua mmefungiwa.Mnafanya vizuri! Yesu ni muweza wa yote! Mmefanya vizuri san kutoa maisha yenu kwa Yesu. Vinginevyo mkifa mngekutana n moto wa milele! Sasa kwa hatua hiyo tegeemeni uzima wa Milele. Amen
Safi kabisa! Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hakika uko ktika njia sahihi!Amen amen,'Yesu' wetu ndio mwamuzi wa kila kitu na hata wazee wastaafu wa baraza la makuhani wanaenda kumuomba msamaha kila uchao na hua anawasamehe huku akiwaambia nitakalowafungia mimi duniani na hata mbinguni kwa baba yangu mtakua mmefungiwa.
Ana elimu Kama ya Mbowe anamiliki cheti Cha form 4. Agombee tu.Watataka kumdisqualify kwa elimu yake, anasahau maprofesa ndio wametufikisha hapa...
Mkuu ulipotea sana humu jukwaani?Tumefikia hatua mbaya kama taifa
Amen, kwa hakika tunafanya hivyo kwa ustadi mkubwa na hata wiki iliyopita kuna mwanafunzi wa 'Yesu'kutoka kule mwibala aliendelea kutangaza kazi nzuri za kutukuka zinazofanywa na 'masiha' wetu mpendwa.Safi kabisa! Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hakika uko ktika njia sahihi!
Sasa jitahidi kuwashawishi na wenzio ambao hawajamkiri wafanye hivyo!
Kumbuka sana lile neno la nendeni ulimwenguni kote mkaitangaze injili, mkiwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu. Hakika utabarikiwa sana.
Safi kabisa! Ukimkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako hakika uko ktika njia sahihi!
Sasa jitahidi kuwashawishi na wenzio ambao hawajamkiri wafanye hivyo!
Kumbuka sana lile neno la nendeni ulimwenguni kote mkaitangaze injili, mkiwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu. Hakika utabarikiwa sana.
Amen amen,'Yesu' wetu ndio mwamuzi wa kila kitu na hata wazee wastaafu wa baraza la makuhani wanaenda kumuomba msamaha kila uchao na hua anawasamehe huku akiwaambia nitakalowafungia mimi duniani na hata mbinguni kwa baba yangu mtakua mmefungiwa.
Mnafanya vizuri! Yesu ni muweza wa yote! Mmefanya vizuri san kutoa maisha yenu kwa Yesu. Vinginevyo mkifa mngekutana n moto wa milele! Sasa kwa hatua hiyo tegeemeni uzima wa Milele. Amen
Amen,yaani 'Yesu' wa huku kwetu kila ukimtaja lazima utaje majina yake yote manne huku ukitanguliza neno jemedari.
Ukifanya hivyo mambo tawireeee.
Mnafanya vizuri kurudisha shukrani, hongereni sana kwa kumtegemea Yesu Kristo! Nlifikiri nyie ni mapagani tu.
Ndio iko hivyo,na tuna kamsemo ketu huku 'kama vile ulivyoamua kunipa cheo kile na sasa umekitwaa jina lako lihidimiwe.'
Kwanini?Naunga mkono hoja
P
Unajua tofauti ya YESU na 'YESU' ?Kwa hiyo John Pombe Joesph Magufuli ni YESU?
MUNGU ANAWAONA...kuna siku atawpigia msiache kupokea simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua mtanzania, kujua kusoma na kuandika.Hivi sifa za kuwa mbunge ni zipi?
Naunga mkono hojaHao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc
Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.
Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
Msukuma anelimu gani?Ana elimu Kama ya Mbowe anamiliki cheti Cha form 4. Agombee tu.