Kwani hao wabunge wana kipi kipya kumzidi Harmonizer?Katiba haibagui lakini si kila mwenye haki kikatiba ana sifa ya kuwa kiongozi!
Kapitie maana na tafsiri ya kiongozi
Bungeni ni kisima kama sio chem chem za fikra kwa taifaKuingia bungeni unatakiwa kujua kusoma na kuandika tu chief
KabisaKwani hao wabunge wana kipi kipya kumzidi Harmonizer?
Kwanza yeye ni creative kuliko wengi
Ubora wa bunge unaamua mustakabali wa taifa lolote kwa kuwa bungeni ni kisima cha mijadala na maazimio yanayoliathiri taifa moja kwa mojaKwani hao wabunge wana kipi kipya kumzidi Harmonizer?
Kwanza yeye ni creative kuliko wengi
Sio kwa akili zile za konde boy.... Akawe mwenyekiti wa mtaa kwanzaKwanini mkuu? Si ana haki kikatiba?
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]Wewe ndio unaleta utani ujue.
Hahah daah naona kweli umenogewa, genious wa JF huyo.hahahahah aliyesema wanawake hatupendani hakukosea, haya weka papa lako tuone, mbona unalionea wivu la kwangu?? mala.ya mbovu wewe!
Kwanini hatua mbaya sasa, si anajua kusoma na kuandika kama katiba inavyotaka?Tumefikia hatua mbaya kama taifa
Mbona Sugu Prof Jay na Mzee Yusuf wamo bungeni na wamefanya vizuri?!Hebu tuweni serious kidogo na uongozi wa nchi yetu. Sidhani kama msanii Harmonize anajua hata majukumu ya mbunge.
Hajawahi hata kuwa na wazo la kugombea ubunge hapo kabla, lakini toka Rais Magufuli "Amtanie" jukwaani kuwa angependa awe mbunge ameichukulia serious hiyo kauli kana kwamba ni agizo au amri.
Mheshimiwa Rais ni mtu wa utani sana; alikuwa akitania tu kunogesha hotuba na siyo vinginevyo.
Bwana mdogo anawaambia watu kuwa kama Rais amesema basi yeye hana budi kukubali na kugombea ubunge? Kwani anayekwenda kuwatumikia wananchi ni Rais?
Hana mikakati yoyote ile wala nia, kampeni yake kubwa itakuwa "Magufuli kasema nigombee".
Kuna wale walitaniwa kwamba waoe nao wataoa kwa sababu hiyo?Wangapi walitaniwa?